Recent content by ureni

 1. U

  Muswada Bungeni: Fao la kujitoa limefutwa rasmi

  Wakuu vip hii sheria imeshapitishwa?Na fao la kujitoa limekaaje?
 2. U

  Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibaha

  Bado vipo mkuu?
 3. U

  Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

  Mimi naona TZ tulipofikia inabidi udicteta ili tuendelee mbele kwanza hiyo demokrasia imeletwa na wazungu ili waweze kutunyonya vizuri na kutufanya tuendelee na umasikini namsupport rais wangu anafanya kazi nzuri sana sana
 4. U

  Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

  mkuu wewe mpangaji huwezi shindana na mwenye nyumba ni shidaa tu utapata
 5. U

  Wamiliki wa nyumba za kupangisha na wapangaji pitieni hapa, hii inawahusu

  Haiwezi fanya hivyo manake watakua wanapunguza kodi yao bei ikipanda ndio faida kwa serikali manake wanapata more kodi
 6. U

  Wizara ya Afya angalieni hizi saluni za kunyolea nywele na maambukizi ya UKIMWI

  Mie naona kitu hatari cha exposed mtu salooni kwa ukimwi ni during scrubbing mtu anatumia mikono yake kwa kuscrub mtu mwingine bila kuvaa gloves aisee hatari
 7. U

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  Manzese
 8. U

  Bunju, Boko Traffic wapo, Tegeta kibaoni wapo, Makonde wapo, Mwenge wapo. Kama nchi imefilisika tuambieni

  Hakuna kero hapo wamefanya kazi nzuri sana kuangalia usalama wetu ajali barabaran hasa mwezi uliopita wa sikukuu zimepungua sana hii ni kuonyesha ufanisi wao mie nilisafiri kwenda mkoa na kuridi nilikamatwa zaid ya mara 5 walifanya ukaguzi na hawakunikuta na kosa nawapongeza sana kwa kazi nzuri
 9. U

  Serikali kukataza wenye nyumba kukusanya kodi ya miezi 6, yasema inaumiza wengi

  mimi ukinilipa kodi yangu miezi sita au mmoja mie poa tu mradi ikifika mda wa kunilipa usinizengue manake hatutaelewana kabisa
 10. U

  Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

  Sawa mkuu,manake Boda boda inaweza kuleta mazara makubwa zaidi
 11. U

  Kazi ya ujenzi wa ukuta Mererani Ikiendelea Kwa Kasi

  Magufuli ndiye rais anayetufaa kabisa safi sana
 12. U

  Tanzia: Mwanafunzi wa UDOM afia juu ya kifua cha mwanamke wakati wa Tendo pendwa

  Wakati wa kusoma historia yake watasema nin kimemuua?
 13. U

  Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

  Ha hahaaa mbona umemchagulia bodaboda mkuu na sio gari?
 14. U

  Benki ya Dunia: Tanzania ina nafasi gani katika kukua kwa Bara la Africa?

  Mhh mngejua World Bank iko kwa ajili ya maslahi ya kina nan wala usingeshobokea huu mjadala
Top Bottom