Bunju, Boko Traffic wapo, Tegeta kibaoni wapo, Makonde wapo, Mwenge wapo. Kama nchi imefilisika tuambieni

Fuata sheria za barabarani uone kama watakukamata, its just that simple obey the law without being coerced....

Suala sio kuvunja sheria balini kusimamishwa kusikoisha na kuishia kuulizwa leseni na kutazama bima ambavyo viko vizuri.
 
Kama askari ni wengi hivyo barabarani kwa nini sasa Tanzania kusiwe na safari za usiku za mabasi ya mikoani kama wenzetu Kenya?
Kila nchi ina sheria zake........usiku kuna wazee wa Patrols.......ila hv sasa kuna Traffic wengi wengi huko barabarani.
 
Uganda kama sikosei amna traffic wengi barabarani kama bongo Traffic anajisifia kukusanya mapato kazi ya Traffic ni kuelimisha tu
 
hahahaha hali si nzuri nafanya kilimo now kwenda bush nilisimamishwa kama mara 4, nikala faini 1 kumbeba jamaa yangu huku hatuna kofia ngumu kwenye tukutuku

wakat mwingine ntaazima tuktuk ya afande kama kinga yangu wasinisimamishe mara nyingi
 
Hama nchi mkuu kama hujali usalama wako askari Wetu watakulinda ....



Huko ndio kulinda kwenyewe
Tatizo mda fikilia safar ya dar to bukoba anza na mizan ya tanroads kila mkoa uje na hao trafic kila km 2-3 wapo, wanatupa tabu sana tunao safir na magar makubwa
 
Hakuna kero hapo wamefanya kazi nzuri sana kuangalia usalama wetu ajali barabaran hasa mwezi uliopita wa sikukuu zimepungua sana hii ni kuonyesha ufanisi wao mie nilisafiri kwenda mkoa na kuridi nilikamatwa zaid ya mara 5 walifanya ukaguzi na hawakunikuta na kosa nawapongeza sana kwa kazi nzuri
 
mm naona wengi wanajibu humu hawana magari na si madereva
  • Barabara zimeharibika kila mahali unasimamishwa na kupekuliwa vyeti na gari hata kama ni zima
  • mchana bumps, tochi, speed 50 sasa km jamaa yangu kaenda Musoma anajuta ni bora angepanda basi kwani kila km10 wapo sasa Musoma kachukua siku 3, Dar mpaka Singida, Singida Mwanza, Mwanza musoma
  • usiku kunatisha
kwa hiyo jamani msiteteee tu bora hata barabara zingekuwa za vumbi​
 
Trafic wana two sides, ya kwanza ni kweli wamesaidia sana kupunguza ajali, hasa kwa.mabasi
Pili, trafic ni kero sana, hiyo barabara ya kutoka boko mpaka mwenge naitumia sana, wanakera na tochi zao kwa kweli, japo nayo kabla ya hao trafic mizinga ilikuwa mingi sana

Tatizo la trafic wa siku hizi wamegeuka wakusanya mapato badala ya wasimamia usalama barabarani, yaani akikusimamisha tu lazima akupige faini hata kama ni kitu cha kuelekezana.

Mimi nasafiri sana dar moro, kusafiri mchana ni kero za trafic na uck kero za malori, hii nchi ni shida
 
Trafiki wapo kwa ajili ya usalama wako, ongezeko lao linamaanisha serikali inajali zaidi usalama wako na ina uwezo mkubwa wa kuajiri vijana wachapakazi.
Tii sheria bila shurti.
Ulaghai mtupu ,nani asiejua wapo kwa maelekezo maalum ya kuwakamua wenye magari ?!
 
Mkuu kwani ukiwa na gari isiyo na kasoro za kiusalama barabarani hata wamijipanga njia nzima tatizi nini... Au ukifuata sheria za usalama barabarani shida nini??

Tatizo tumezoea kuvunja sheria, kutanua na kuharibu barabara, kutoa buku 5 na kuachiwa. Lakin sasa wanasimamia haki mnaanza kulialia
Tatizo ninkupotezewa mda, mimi juzi kakagua vyote kaona niko poa, kakimbilia kwenye Zebra eti sikupunguza speed, uzuri mwenzie aliniona nilisimama nikawapisha hadi watu wakavuka, jamaa akaona soo... Nikamwambia, what goes around will come around... Leo unacheo na nadhiheshimu hizo unform lakini unazitumia vibaya, akanipotezea mda na nikachelewa kivuko.

Kumiliki gari ni shida sasa bongo na ni kero kubwa sana... Kwa nini zisiwepo checkpoints kwenye highways ambazo zinaeleweka kila hata mkoa ndo wakague hayo matairi, extinguisher, leseni, na katikati wabaki hao wa tochi tu, mtu ukisimamishwa unajua kabisa is speed or
 
Tatizo ninkupotezewa mda, mimi juzi kakagua vyote kaona niko poa, kakimbilia kwenye Zebra eti sikupunguza speed, uzuri mwenzie aliniona nilisimama nikawapisha hadi watu wakavuka, jamaa akaona soo... Nikamwambia, what goes around will come around... Leo unacheo na nadhiheshimu hizo unform lakini unazitumia vibaya, akanipotezea mda na nikachelewa kivuko.

Kumiliki gari ni shida sasa bongo na ni kero kubwa sana... Kwa nini zisiwepo checkpoints kwenye highways ambazo zinaeleweka kila hata mkoa ndo wakague hayo matairi, extinguisher, leseni, na katikati wabaki hao wa tochi tu, mtu ukisimamishwa unajua kabisa is speed or
Ni kweli mkuu. Ilishwahi nitokea jamaa wakalazimisha nimeovertake sehemu isiyoruhusiwa wakat sikuovertake. Tulipelekana hadi kwa mkuu wa kituo sikukubali huo ujinga
 
Safi sana tena waongezwe mara mbili zaidi hatutaki wahuni barabarani huwezi ogopa traffic kama huna shida kichwani au chombo chako cha usafiri
 
Back
Top Bottom