Kutoka vijidamu kwa msichana mwenye mimba changa

Ni kawaida mi mke wangu huwa inamtoka na anajifungua vizuri.Sasahv ana watoto wawili na hawana tatizo lolote.Nb sina utaalamu kwa ushauri zaidi muone daktari.
 
Ni Hali ya kawaida Mwanzoni
Lakin ukiona Hali inaendelea wahi hospital
 
Mimba inataka kutoka hiyo wahi hospital watakupatia dawa na watakushauri usiwaze sana.chukua bodaboda uwahi itatoka
 
Threatening abortion
Mleta mada ushahuri huu hapa. Ufate na uzingatie hili kwa wakati (Threatened miscarriage) mimba inayo tishia kutoka. Uki wahi kuna management yaku zuia isi haribike zaidi na mtoto ata zaliwa salama uki chelewa itafanyika Evacuation method( abortion). Niki pata mda nita elezea kwa urefu juu ya hili.

Cc:
zipalapwata
 
Ahsante umeelezea vizur Mr ni vidowa vya damu ilitoka kuz usiku ila siku ya Jana hakuja kuwa na half Kama hiyoo
 
Kwa kusema 'vijidamu' inaonyesha kiasi cha damu kinachotoka ni kidogo, Hiyo nadhani ni kawaida na kitaalamu wanaita spotting, ni kitendo cha yai lililorutubishwa linapoenda kujishikiza kwenye ukuta wa kizazi,Mishipa ya damu iliyojaa kwenye ukuta huu tayari kulisha kiumbe huachia damu kidogo ambazo mwanamke anaweza kufikiri ni hedhi japo kiwango cha damu kinakua sio sawa na hedhi ya kawaida.
Kwa uhakika zaidi nenda hospitali iliyo karibu nawe utapata maelezo zaidi huko.
Ahsante ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom