Recent content by Urban Edmund

  1. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Aina 10 za pombe zenye manufaa kwa afya yako

    Hasara ni nyingi kuliko faida ni kitu cha kuepuka ili tuishi kwa amani wakati wa uzee wetu
  2. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Naomba kusikia kutoka kwa watu wengine ambao labda wamepitia maumivu makubwa ya kupoteza wapendwa wao au kuona ndugu zao wakiteseka hospitalini

    Pole sana Mimi nilifiwa na mama then baadae baba katika umri ambao natarajia kwenda five niliyumba sana licha ya kuachiwa mirathi iliisha maana Mali bila daftari huisha bila habari namshukuru Mungu yalishapita na nimesahau pole sana
  3. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa inakuaje kwenye selection za form five kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa Combination ya PMCs na hawajasoma Computer kabisa

    Ningejua mapema badala ya kumjazia kwenye selform za Tamisemi ningemjazia dogo PMC (Phyz, math na Computer) badala ya PCM Hujaelewa nini hapo
  4. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Mashuleni tuwafundishe watoto wetu kujibu kiufasaha maswali wanayoulizwa

    Aisee ukitaka kujua hii kitu ipo sana nenda shule ya msingi muulize mtoto Maswali ya kawaida kabisa ya kutumia uelewa lakini anachojaza pumba kabisa
  5. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa inakuaje kwenye selection za form five kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa Combination ya PMCs na hawajasoma Computer kabisa

    Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
  6. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Nisome diploma ipi kwa ufaulu huu

    Afya-Dental, Radiography na Phsiotherapy Engineering-Mining, Mechatronics
  7. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Sekondari ya Jokate Mwegelo ni shule ya serikali au binafsi?

    Hii shule ni ya bweni kitaifa kwa wanawake na anaweza kupangiwa dada yoyote kutoka mkoa wowote
  8. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    mimi nahitaji kujiajiri kwenye biashara sehemu ambayo ni kijijini ila kuna watu wengi ni kijiji pia kata i mean
  9. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania COET or DIT

    ukitaka sifa somea Udaktari ukitaka hela somea famasia (husianisha)
  10. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa lugha anaejua Visawe vya haya maneno anisaidie..

    Paka shume ni wale paka wa porini
  11. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Neno 'Nyoko' liligeukaje kuwa tusi?

    Nyoko na nina hayo maneno yote yanamaanisha mama sasa hii hali ya kutukana makunyoko au kyumanina ndio imezalisha hayo maneno kama tusi lakini sio kinyakyusa wala kikurya pekee bali kwa kiswahili sanifu hayo maneno yanamaanisha mama
  12. Urban Edmund

    JamiiForums Tanzania Afisa Masuuli ndiye nani?

    Ofisa masuuli ni mtu anayehusika na utunzaji, uhifadhi matumizi na uruhusuji wa matumizi yake mfano Afisa masuuli wa halmashauri ya wilaya au manispaa ni mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya au manispaa mtawalia
Back
Top Bottom