Huwa siwaonei huruma Wanawake wengi wanaoangukia kimapenzi kwa waume za watu wakat vijana singles kibao tu hawajui utamu wakamwage wapi mara nyingi sana hujifanya you don't care km mtu ameoa au la but akija kukuacha suala la kuwa umetembea na mume wa mtu huwa mnaliweka km moja wapo ya point, no...
Bila kusahau kuwa Yale mafuta ya alizet (sunflower oil) wanayokula matajiri tu Hapo Kenya yanalimwa na kukamuliwa kwenye viwanda vya mafuta ya alizet singida
Sehem yoyote ambayo mji unachipuka km vile kigamboni, tegeta, kongowe panafaa cha msingi uangalie usalama kwanza maana mtu anaweza kuja kukuvamia na kukuua kukuibia elfu 50 tu
Ukikutana naye tena tumia kidole cha shahada kubisha hodi ukiona hakuzuii bali anasisimka ujue umeruhusiwa kupitia milango yote ukishindwa tena hapo ujue unatupiwa virago muda sio mrefu
Nilibahatika kusoma shule moja maarufu moshi mjini miaka ya 2000s Yaani ni full uchaga na upare tofaut na hapo imekula kwako jamaa kibao wa hapo moshi au arusha wakifanya misala huwaskii wakipigwa suspension au kufukuzwa ni kitendo cha mwalimu kuomba namba ya simu ya mzazi wakikutana bar kugonga...
We Umeona kivuko kibovu na escrow ndio issue? VP kuhusu mashirika ya umma km kahawa(kncu), reli ya arusha kupitia moshi mmeiua kuanzisha kampuni za mabasi kwenye madili karibu yote ya ufisadi kuanzia miaka ya 80s, 90s mpaka sasa ni majina yenu yamesheni afu unaona ni escrow pekee ndio ufisadi
Wanawake wa cku hz wengi wao hawajui wanataka nini ukiwaendekeza utaumia roho cha msingi tafuta furaha yako kwanza maana hata Ukiwa na mguu wa Mtoto Bado watakutafutia sababu ya kuleta dharau cha msingi tunza nguvu zako za kiume utazihitaji uzeeni Ukiwa na hela za kutosha
Usijitape kuwa wa kaskazini wana akili kuliko watanzania wengine waliwahi kusoma kwakuwa walijengewa na mzungu shule nyingi huko na wao ndo walioanza kuongoza mashirika ya umma toka uhuru na ndio waliofanya ufisadi na sabotage za kutosha kuua hayo mashirika kwa ajili ya ubinafsi ukikuta kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.