Recent content by Upile bulabo

  1. U

    JamiiForums Tanzania ...Nikamwambia nenda kwa Polepole akukopeshe

    Akili zenu hizi ndio zinazowahukumu kila kunapofika uchaguzi halafu mnalaumu mmeibiwa. Yani huko mmekuwa kama mapacha kuanzia mwenyekiti mgombea uraisi wenu mpaka sisimizi wa chini wote mmelogwa na kupumbazwa. Nyie endeleeni kubweka tu lakini sie tunaijenga nchi yetu pendwa. Dhuluma iko ndani...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

    Mambo haya ndo yanawafanya watu fudenge wanaojiita makamanda kumbe walivishwa mapepo na majini wakimbie nchi yetu kwa kisingizio cha kutishiwa kuuawa. Ni mapepo tu hayo ya fitina zao ndio yanayowakimbiza. Hakika kila mwenye husda na nia mbaya juu yako atakimbia mbio.
  3. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

    Kwa jinsi unavyomsifia hata akijiharishia hadharani utaona ni advantage kubwa sana kwake. Akili zenu kama mende au kunguni vile. Bora hata panya ana afadhali.
  4. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Wapigwe tu hawa wanajifanya vichaa kumbe kuna vichaa zaidi yao. Watolewe manundu tu.
  5. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni: Kama una hofu ya Mungu na kama umechoshwa na dhuluma tarehe 28 Oktoba chagua wagombea wa CHADEMA na washirika wao

    Mwaka huu sasa fanya hivyo maana mliye nae ni kichaa yule. Chizi fresh kabisa. Hajielewi wala hawaelewi wapiga kura wake.
  6. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Mwalimu: Tumepata taarifa zipo Taasisi za Umma zinagharamia Kampeni za Mgombea wa CCM

    Huyu jamaa mbweha kweli. So what?!! Mmeishiwa pesa mnataka nini tena. Hata viongozi wa dini wako tayari kumgharamia JPM kwa kuwa wameona nini anafanya. Sio kugharamia nyie vibaraka wa mabeberu mje kuuza nchi yetu pendwa. Tumewashtukia.
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

    Mtoa mada hujielewi na kamwe hautajielewa. Kama ni mkristo nenda katubu makanisani na kama ni muislamu nenda kafanye toba inayostahili. Kizazi hiki mmejazwa ujinga vichwani mwenu kiasi hata kureason hutaki kabisa. Ww ni wa kupuuzwa mazima na wanaojielewa. Umekurupuka. Husuda na nia zenu mbaya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ni kama Lowassa wa 2015, watu (watoto) wanafurika kwenye mikutano yake lakini hana cha kuwaambia

    Nyie watumwa hamumjui JPM. Jembe linajiamini. Kwani maji hayako katika ilani ya mwaka huu??!! Sio wajinga Fulani wanatumwa kwa makusudi kwenda kuharibu tu mikusanyiko ya JPM. Nakuhakikishia yule jamaa atampa tu kura JPM kama kweli anayataka maji.
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaani CCM ni SGR, Ndege na Stieglers. Ndiyo sera yao kila mahali

    Hujielewi na ni wazi yanakukera sana haya mafanikio. Akili zenu zimejaa uwongo na unafiki tu.
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaani CCM ni SGR, Ndege na Stieglers. Ndiyo sera yao kila mahali

    Mtoa mada ni wazi unaweweseka. Aidha haujawasikiliza ama umeamua kutunga tu uzushi na uwongo kama kawaida yenu. Na hapa nakuhakikishia anayetia huruma ni wewe na hao wenzio waliokutuma. Shame on you. Unafanya projection unasingizia eti CCM wanatia huruma. Yule jamaa yenu ana lipi jipya zaidi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais wa CCM JMT na mgombea mwenza wako niwaombe muvae busara akilini mwenu, huu ni uchaguzi mkuu wa vyama vingi!

    Kweli wewe unavuta bangi. Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Public relations: Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi wake za Mabalozi nchini kutembelea vivutio vyetu vya utalii?

    Inaonekana hata aliyekuleta duniani kapata sana hivyo vipondo kutoka kwa dingi. Ndo maana unavijua sana hivi vitu. Huwezi kuimba wimbo usioujua.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe alionya wasanii kujihusisha na siasa

    Kama ulielewa maana ya lile tamasha basi pale limekuwa na mafanikio makubwa sana. Hawakuitwa watu kuja kucheza pale. Ndo maana walikuwa wanakatazwa wasisimame. Tatizo ni mzuka wa wasanii na hata watazamaji.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Je, tunu zetu za Taifa zina haki na hatimiliki? Je, vinatambulika kisheria?

    Huyu jamaa hayuko sawa kichwani. Akapimwe tu.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tukio lililonijenga kiimani na kuamini Mungu yupo

    Ila next time ukiwa unamuaddress huyu Mungu aliye mkuu basi tumia herufi kubwa kwa ile herufi ya kwanza ya neno Mungu. Vinginevyo inaleta maana tofauti. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom