NEW DEVELOPMENT:
Kiwanda cha Cement cha Kisarawe (Kisarawe Cement Company) kiko ktk hatua za mwisho kuanza uzalishaji. It is a matter of days kabla ya kusikia kuwa kimeanza uzalishaji.
Hope itaongeza mchanganyiko wa watu na mzunguko wa pesa ktk wilaya ya Kisarawe. Vile vile itazidi kuyapandisha...
Wanahitaji kufanya kazi ya ziada ili kurudisha fikra na imani toka kwa wananchi. Lakini sioni kama juhudi za makusudi zinfanyika kwa hilo na kwa hiyo wajiandae kisaikolojia kuwa chama dume cha UPINZANI. This time, Watapigwa tu...
Mkuu Ahsante,
Nitacheck nao ingawa pale Kisarawe wameshindwa kufanya huduma ya Easypesa kwa kuwa hakuna mtandao wa Zantel. Hata modem yao ya internet CDMA haifanyi kazi pale. Nashukuru nitafaitilia.
Wakuu Naona watu wengi siku zote wanaongelea kuhusu dstv pekee. Lakini hizo dude za njunwa wamavoko zinakuwezesha kuona na myTV pia. Hawa jamaa wa MyTV wana zaidi ya miaka 6 wakiendesha shughuli zao lakini mambo yao ni kimyakimya tu. Vipi wanafanya vizuri au bomu? Je mnaotumia vingamuzi vyao...
Mkuu njunwa wamavoko two weeks za mapumziko ni balaa!!!! Natamani ingekuwa enzi za Mzee Ruksa na akapata bahati ya kwenda kule uchina wakati wa likizo yao. Uwe na hakika nasi tungepata angalau wiki 1.........
Kama uko serious na kilimo waweza kwenda Marui. Kule kuna ardhi nzuri nyeusi na yenye rutuba inayofaa kwa kilimo. Kuna watu wanalima Mpunga kule pamoja na mazao mengine - Nazungumzia kilimo cha biashara. Kina cha maji hakipo mbali sana na sehemu zingine ni kukusanya maji na kufanya kabwawa...
Mkuu hebu dadavua kidogo: Je wakati wa survey unaweza jua iwapo maji yatakayopatikana hapo yatakuwa baridi au ya chumvi? Na je wawezajua wingi wa maji yaliyoko?
Kuna sehemu moja kule mkoa wa Pwani ambapo kuna attempt 3 za kuchimba maji zimefanyika katika eneo fulani bila mafanikio. Ninacho...
Hebu eleza ulihitaji kwa ajili ipi kilimo, ufugaji n.k. Ardhi kuanzia kijiji kinaitwa Kisanga kwenda hadi Chole ni nzuri kwa kilimo. Kama ni ufugaji ndio shida kidogo kwani utahitajika kuchimba kisima chako au kuwa na mpango mwingine wa maji.
Kwa eka zako tano kupata ni fasta na ni inaweza kuwa...
King Kong III inategemea ni wapi. Kama ni karibu na kiwanda na ni katika njia kubwa (Main Road) bei ni hizo na hata zaidi. Ila kama ni ndani kidogo bei ni poa sana. Huko ndani kidogo waweza kununua kila eka hata 150,000/=.
Nilishangaa sana nilipokwenda Msanga (kama 60km toka Kisarawe) ambapo...
Kuhusu huyo jamaa yako hapo kuna sababu kadhaa. Kama ni eneo karibu na kiwanda bei zimepanda sana. Lakini kingine ni kuwa eneo lote la mkono wa kushoto unapotoka kiwandani kwenda Kibaha ni eneo limetengwa kwa ajili ya viwanda. Kuna mradi wa kushirikisha wananchi ambapo maeneo yao yanapimwa...
Usafiri ni bwerere. Waweza anzia Buguruni ukapata magari ya kwenda Maneromango, Msanga au Chole. Yote yanapitia Kisarawe Mjini. Ukienda matembezini na ukahitaji kulala Kisarawe basi Guest House zipo za bei poa kabisa. Kuanzia Buku 5 na kuendelea. Kama wewe wapenda kula upepo, kuna Hoteli moja...
Njoo utembee kidogo utajifunza kitu. Nadhani hukujua hata kama kuna kiwanda cha Cement eneo la Kisarawe. Na nadhani ni watu wachache wanajua kuwa kuna mradi mkubwa wa Container Terminal (Wanaojua zaidi watujuze). Ila najua kama wenyeji wamepewa fidia na zoezi linaendelea.
Bei ni maelewano ila inategemea vitu vifuatavyo:
1. Umbali shamba lilipo toka barabara kubwa.
2. Umbali shamba lilipo toka kijiji cha jirani
3. Uwepo wa barabara ya kwenda huko
4. Umbali toka Kisarawe n.k.
Inaonyesha pia kuwa bei zimepanda hasa baada ya huu mradi wa umeme ambapo kila mtu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.