UPENYO
Member
- Nov 18, 2013
- 44
- 25
- Thread starter
- #21
Dooh umepotelea wapi? Nauliza kama nawezapata eka 5 huko KISARAWE.
Hebu eleza ulihitaji kwa ajili ipi kilimo, ufugaji n.k. Ardhi kuanzia kijiji kinaitwa Kisanga kwenda hadi Chole ni nzuri kwa kilimo. Kama ni ufugaji ndio shida kidogo kwani utahitajika kuchimba kisima chako au kuwa na mpango mwingine wa maji.
Kwa eka zako tano kupata ni fasta na ni inaweza kuwa around Kisarawe mjini.
Kwa ujumla unaweza kupata ekari zote unazohitaji. Kuna sehemu inaitwa Gwata ni mbali ni kama km 90 toka Kisarawe mjini huko kuna ardhi nzuri sana kwa kilimo cha biashara. Ni karibu na bonde la mto Ruvu na kuna rutuba sana. Ukijipanga waweza kwenda huko na kuwa mkulima kabisa.