Recent content by Upanga Mkali

  1. Upanga Mkali

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    ACT kimekuwa chama cha wapiga dili hivisasa
  2. Upanga Mkali

    ACT-Wazalendo wasuka njama za kuhujumu CCM Mbarali

    BAADHI ya wanachama wa ACT-Wazalendo wilayani Mbarali, wanatajwa kusuka njama za kuhujumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutengeneza tuhuma dhidi ya mbunge wa jimbo hilo Haroon Mulla na kuzisambaza mitandaoni.
  3. Upanga Mkali

    Syimbion wapanga kuvuruga serikali

    Kuna mpango kabambe umepangwa na kampuni ya Symbion kuivuruga serikali. Symbion ilifanya kazi za kuzalisha na kusambaza umeme Afghanistan na kuchangia kuwepo kwa vita isiyoisha nchini humo. Symbion inayo mikakati ya kuwa mzalishaji mkubwa pekee wa umeme Tanzania. Kampuni hii inaendesha vita...
  4. Upanga Mkali

    Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

    Siku chache kabla ya kufungwa kwa zoezi la kurejesha fomu za ubunge na urais, mtu mmoja aliye ndani ya kambi ya UKAWA aliniambia, Juma Duni ameandika barua ya kujitoa kwenye kambi hiyo. Ni baada ya kugundua Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amewazunguka kwa maagizo wanachama wake kuchukua na...
  5. Upanga Mkali

    Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Wadau, amani iwe kwenu. Wakati CCM wakianza vikao vya ndani vya mchujo wa wagombea ili kumpata mtu mmoja tu ambaye atapeperusha Bendera ya Chama kwenye kinyang'anyiro cha Urais, hali ndani ya Team Lowasa inazidi kuwa mbaya. Kwa sasa hali imekuwa kama wale waliokuwa wanajenga Mnara wa Babeli...
  6. Upanga Mkali

    Slaa aibua mgogoro wa kikabila

    . Waluguru, wakwere, wazaramo waja juu . Wasema tambiko lao limekhanithiwa KITENDO cha baadhi ya wazee wanaojiita kutoka Dar es Salaam, kumvika uchifu Katibu Mkuu wa Chadema Wilibroad Slaa, kimelaaniwa na wazee wa kabila la Waluguru, Wakwere na Wazaramo. Wazee hao wanasema, wameshangaa kuona...
  7. Upanga Mkali

    Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

    Alidhani amefika, awaulize wenzake kawaida ya Mengi akishakutumia kazi yake ikiisha anakutosa
  8. Upanga Mkali

    Kafumu na Ngeleja washitakiwe uuzaji mlima Kabulo makaa ya mawe

    Dr. Kafumu aliibia Serikali alivunja sheria kwa kushirikiana na Waziri wake Ngeleja kuuza Mlima wa Kabulo wa Makaa ya Mawe kwa Dola Milioni 7 lakini ndani ya vitabu vya Serikali waliandika Dola Laki 7 tu. Wakati mauzo hayo yanafanywa Kafumu alishaondoka kwenye Ukamishina na alikuwa Mgombea...
  9. Upanga Mkali

    Mpaka sasa sijaona mpinzania wa Prof. Muhongo

    Nimesikiliza hotuba za watangaza nia wa CCM, mpaka sasa sijaona hotuba yenye maono na inayoonekana kutekelezeka kama ya Prof Muhongo ambaye alionyesha tatizo, ukubwa wake na kutoa njia za kutatua, January alitoa mlolongo wa ahadi lakini yote aliyosema yanatatuliwa kwa kukuza uchumi kama...
  10. Upanga Mkali

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Hayo majigambo sio tatizo, tunahitaji kutumia uwezo wake kulifikisha mbali taifa letu
  11. Upanga Mkali

    Naanza kuhisi harufu fulani ITV

    Televisheni ya wachaga
  12. Upanga Mkali

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Wakati akiwa waziri mgao wa umeme tuliusahau sasahivi kila siku kuna mgao tena bila taarifa
  13. Upanga Mkali

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Hekimamali ukitaka kujua huyu jamaa ni jembe angalia alichofanya kwa muda mfupi aliokaa wizara ya nishati na madini na mambo makubwa aliyofanya hiyo maana yake ataweza
  14. Upanga Mkali

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Kati ya hao waliojitokeza sioni aliyemzidi hata kwenye hotuba yake kaeleza tatizo, ukubwa wake na kutoa suluhu ya kulitatua
  15. Upanga Mkali

    Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

    Huyu ndo rais ajaye, kuna watu waliona hilo mapema wakaamua kumchafua ila yupo vizuri na watu wameshajua ukweli go Muhongo!
Back
Top Bottom