Syimbion wapanga kuvuruga serikali

Upanga Mkali

Member
Dec 24, 2014
96
83
Kuna mpango kabambe umepangwa na kampuni ya Symbion kuivuruga serikali. Symbion ilifanya kazi za kuzalisha na kusambaza umeme Afghanistan na kuchangia kuwepo kwa vita isiyoisha nchini humo.

Symbion inayo mikakati ya kuwa mzalishaji mkubwa pekee wa umeme Tanzania. Kampuni hii inaendesha vita kali dhidi ya TANESCO na makampuni mengine ya umeme.

Symbion ilichangia UKAWA shilingi bilioni 35 kwenye Uchaguzi ulioisha. Kwa sasa imetenga shilingi bilioni 20 kwa kulitumia Bunge kuimarisha biashara zake. Ni vema serikali ikachukua tahadhari juu ya hili.
 
Back
Top Bottom