Recent content by UP TO DATE

  1. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Heri leo sijaamua kuangalia mechi yetu na Liverpool kabisa,maana unazi ukizidi utaumia roho tu...poleni Sana mashabiki wenzangu wa man utd mlionunua na pop corn kabisa ili kufurahia burudani yenye majonzi...naamini sasa Kama mashabiki wa man utd tulishaanza kuzoea shida tayari basi hata hili...
  2. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Wataalamu njooni hapa

    Hah dah eti kajumba ka uswahili,suala la uchawi Lina angle nyingi sanaa,unaweza kurogwa kwa njia nyingi...au unaishi kwa kujishtukia Nini?...jifunze kusema hapana au nimeshiba.
  3. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Titanic: Siri nne zisizojulikana hata baada ya miaka 110 ya kuzama kwa Titanic

    Mungu na J.P Morgan wanajua zaidi..
  4. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Paroko wa Kanisa Katoliki akutwa amefariki, mwili wakutwa kwenye tanki la maji

    Daah,inastaajabisha kabisa...
  5. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania GERRARD vs SCHOLES vs LAMPARD, yupi ni 1, 2 na 3?

    Hiyo skuz achana nayo kabisa,hakuna Kama yeye Kati ya hao wawili...Iniesta na Xavi wanalifahamu hili hadi timu yao ya Barca siku mojamoja hutenga muda kumuangalia paolo...
  6. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kataa ombi la Jenerali Venance Mabeyo kustaafu

    Mbona Kuna wazuri Mara kumi ya Venance Mabeyo,muda umefika...
  7. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi najiuliza tu like teke la farasi la Maguire lililompata pogba lilipigwa kwa makusudi au bahati mbaya,hivi urukaji gani ule wa kubetua miguu Kama unapiga sarakasi jamani...
  8. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Yani hata sielewi lile teke la farasi limepigwa kwa mfumo wa aina gani...huyu Maguire huyu.
  9. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanaume wa shoka

    Hizi mechi za hawa jamaa bana hadi ifike second leg ndo unapata uhakika...
  10. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania CAG: Mkandarasi alichukua tenda kwa 104b akaiuza kwa 40b akapiga cha juu 64b

    Wote wezi tu hakuna afadhali kila awamu ni ya wezi tu toka uhuru,vingine vinaogopwa kusemwa au vimefichwa makusudi visijulikane ili kulinda legacy fulani bin fulani...
  11. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Vita tayari!,wakati ni Jambo dogo tu la kutumia akili...hahahh.
  12. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

    inaitwa changamka hiyo usilale hovyo...
  13. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

    Unaweza chosha tu ubongo wako,maswali kibao kichwani.
  14. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Kaamua kuchagua njia yake,basi apite anapoona inafaa naamini management yake inaona vizuri...
  15. UP TO DATE

    JamiiForums Tanzania FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

    Daah,sikubahatika kucheki mechi, nilipokuja kuona highlights kwa kweli sikuamini Kama Bavarians katoka...so sad.
Back
Top Bottom