Kama hauna mahusiano mazuri na huyo jirani sidhani kama ataamua tu kukuletea uji na wewe ukajifanya kimbelembele kuupokea...Kuletewa uji sio jambo baya…Just imagine kama akiwa na nia mbaya na wewe huoni ni fursa ya kukumaliza?

Umepokea wa nn??Mkuu kwanini?mjini hakuna kuaminiana kwenye mambo ya vyakula
Ndio tiba ya tatizo lako.Bomba tena
Mkuu embu toa kwanza hiyo avatar ya huyo mzee alafu tuanze kujadili mada yako.Kuletewa uji sio jambo baya…Just imagine kama akiwa na nia mbaya na wewe huoni ni fursa ya kukumaliza?
Tatizo ni hiyo Avatar yakoWanajamii nahitaji msaada wenu kidogo…Mimi hapa ninapokaa kwa mbele kuna kanyumba ka uswahili sasa muda wa kufturu umefika nikaletewa uji,kuletewa nikaona aibu ikabidi nyinwe tu maana ningeonekana vipi kwa watu au labda na ringa…ule uji nimekunywa kama robo hivi kikombe,mwingine nimeingia home nikamwaga,na nikaenda chooni kutapika nikahakikisha uji wote umeisha…Swali langu,je kama mtu alikuwa na nia mbaya na mimi kupitia hicho kiwango kidogo cha uji anaweza nidhulu au nilivyojitapisha bado naweza dhulika? Wakuu nipeni muongozo,nakumbuka kwetu niliambiwa usipewe vitu vya kula kula hasa kwa watu usiowaamini