Sio tendency magufuli anaiga kuwa dikteta kwa tanzania inaonekana wazi amekua dikteta nyumbani kwake sasa kapewa a bigger house so alienda rwanda kufanya orientation ili aje kutekeleza atawa diktate his house na polisi na makonda,nape,january,majaliwa na midoli kadhaa kwenye serikali yake but...