Mimi nahitaji shockup zote nne complete na coil zake ndugu yangu nipe gharama zake aina ya gari ni premio corona old ya 1996 chasis no ni AT2110040917 nipo serious sana mkuu 0786661993 whatssup
Hongera Kaka nilitamani Sana Mzazi mwenzangu angekuwemo humu pia asome Hii Binafsi imenigusa Sana natamani Ni screenshot then nimtumie Ila nimefanya Sana Hii Ila hata haimgusi kabisa tayari hisia zake zimehamua kwa mwanaume mwingine ameshavishwa na Pete ya uchumba bila kujali athari za mwanetu...
Asante Sana Ndugu yangu inaumiza mno kinachouma zaidi niliandaa Pete ya gharama nimfanyie surprise kumbe nayeye aliandaa Surprise yake ya kuniumiza😔Amenivunja moyo mno na Ameshakubali kuvishwa na Pete asee.mmh haya mapenzi usiingie kichwa kichwa Jamani Kuna kufa.
Tatizo sio kuisha kwa wanawake ndugu Tatizo Ni kupenda binadamu tunatofautiana nduguangu Kuna Sina ya binadamu ambao akishapenda amependa hatamani kubadilisha badilisha mtu na kikubwa zaidi tamaa yangu ilikua kuzaa watoto wangu wote na mwanamke mmoja Tu isiwe kila mtoto na mama yake hiyo kitu...
Pamoja Sana mkuu,🙏🙏 hamna namna kisicho riziki ama kweli hakiliki kinachoniuma Ni mtoto Kuja kuanza kuitwa huyu Ni Kaka etu Ila wa baba mwingine...Ila ishatokea nikubali matokeo tu
Asante Sana bingwa umenionyesha Nini nifanye wapi nianzie Nashukuru kwa ushauri wako Big🙏🙏🙏 Japo nilichokuwa nikikifanya kwasasa Ni kumhudumia mwanangu kwa kula anachohitaji make dogo anaingia darasa la tatu mwakani na mamaake aliforce kumpeleka private yeye na mama mkwe wangu wote waliforce...
Pole Sana ndugu yangu stori yako ilitaka kufanana na yakwangu japo yangu Ina utofauti kidoogo Mimi niliishi na mwanamke mmoja iv mjita nilibahatika kupata nae mtoto mmoja wakiume tulimlea Hadi miaka mitatu pamoja, picha likaanzia hapo mwanamke akaniambia amepata kazi ambayo kazi hiyo atalipwa...
Asante sana kaka kwa maelezo yako nimeelewa vema sana kaka nitafanya hivyo kaka kama ulivyonielekeza ngoja nipambane pambane tutawasiliana kibiashara zaidi kaka nakushukuru sana bro
Brother Mimi nipo babati manyara Nina full vifaa yaani meza desktop complete ina 2terabyttes nawaza nianze kuifanyia kazi kinachonikwamisha ni wasiwasi wangu kuhusu usajili naomba unielimishe kidogo kuhusu kusajili hii biashara ya library ndogo ndio nataka nianze sijui nianzie wapi ili niisajili...
Ila nadhani pia ni kulingana na wingi wawatu walioomba nafasi husika maana mfano kama Mimi niliomba tanesco na tra udereva decline ilikua ni tarehe 4 tanesco na tar 8 tra ila mpaka muda huu mkeka haujawekwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.