Recent content by University_Promo

  1. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wimbo "Umeniweza" wa Ommy Dimpozi umefeli japo ni mzuri sana

    Ule wimbo wa ommydimpoz Kuna logo ya GSM katazame kwa makini.Kigogo kigogo alisema ni mke wa nanii.Nilivyocheki video ya ommydimpoz na kuona logo ya GSM nikajua ni akina Noel kwa Dangote wa dar to Lagos.
  2. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Kati ya software developer na software engeneer ni kipi kizuri?

    Tadeo lwanga wa Simba and degree ya software engineer.
  3. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Wanaotafuna vitunguu swaumu kila siku tukutane hapa

    Ame Amekimbia
  4. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa 25 milioni: Idea ipi itafaa kati ya hizi?

    Weka wakala wa Mpesa,Tigopesa,Airtel money,Halafu wakala wa Crdb,nmb bank na vocha na smartphone na computer.
  5. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

    Nimesikia ule wimbo unatibu Corona. Gere.
  6. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

    Tanasha Donna anakuwa msanii wa kwanza wakike barani Africa kufikisha views million 1 ndani ya masaa 14. #GERE.
  7. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

    Ndiyo simba ambayo tunayoitaka.
  8. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania vs Yanga: Macho yangu yote kwa huyu jamaa

    Goli la polisi ni goli halali kabisa.
  9. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

    Nyie ndo mnaudini pitia comments za wenzako uone nani waloanzisha Udini.
  10. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Hivi Hotel Verde Zanzibar inauza pombe kweli?

    Wengi wao chuki tu zimewajaa. Udini,Ukabila kwasababu mmiliki ni Muislamu. Ingekuwa yangu huruhusiwi hata kuingia na mke asiyekuwa wako.
  11. University_Promo

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Pisi kali, Naweka akiba warembo wengine humu wapo smart hata kutushinda sisi baadhi ya boys. Congratulations.!!!
Back
Top Bottom