Recent content by uniseni

  1. uniseni

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unazipata kwa menu gani sasa Sent from my SM-M317F using JamiiForums mobile app
  2. uniseni

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Kuna dawa moja naifanyia utafiti, kama upo tayari kuitumia kama kushiriki utafiti njoo inbox
  3. uniseni

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Kuna dawa flani ya ugonjwa mwingine ila inapunguza kama sio kumaliza tatizo la harufu mbaya kwapani. Njoo DM kama una shida hiyo
  4. uniseni

    Mbowe na viongozi wenzake wa chadema wakutwa na kesi ya kujibu kwenye mashtaka ya uchochezi

    Mwisho watahukumiwa kwenda jela ai kulipa faini.
  5. uniseni

    Uzi maalum wa nyau wetu majumbani

    Huyo mweusi mbona anafanana na paka wangu alipotea kitambo
  6. uniseni

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    DM nikupe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. uniseni

    Naibu Waziri: Marufuku Runinga za Hospitali kuonyesha tamthilia, michezo na burudani kama ilivyozoeleka

    Natamani siku akiugua yeye wamuwekee video za ugonjwa wake Sent using Jamii Forums mobile app
  8. uniseni

    Serikali yazifunga akaunti 191 za wakulima wa korosho.

    Hivi wanaouliza mashamba kwani koroshow zinadondoka angani kama mvua? Ukiona mazao jua yamelimwa na huenda ya mwaka juzi na mwaka jana sikuuza. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. uniseni

    Naomba ufafanuzi: Girlfriend wako akianza kunyoa hivi tumia kondom

    Tupo wengi...sitaka manywele mimi kwanza yananuka.
  10. uniseni

    TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Prince alikuwa mzee wa nyimbo za kihindi... Nimekumbuka alikuwa anaitwa Zuberi Musabaha mzee wa bolingo time..
  11. uniseni

    TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Bila kumsahau Prince Baina Kamkulu na yule mzee wa Bolingo Time jina limenitoka..
  12. uniseni

    Waziri wa Maliasili na Utalii anapata ajali mbaya anatibiwa Muhimbili, CHADEMA wakashinikiza Wakili akatibiwe Kenya na Ubeligiji

    Hivi kwenye hatari ya kufa unaweza kufuata taratibu na sharia? Labda kama unayajua mawazo ya Mungu.
Back
Top Bottom