Recent content by UniqueMan

  1. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Mkuu umetumia kigezo gani kutupa sifa hiyo[emoji3]
  2. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Sikutaka kuliwa sasa[emoji23]
  3. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Ndo vile kusema kila mtu atakula kazini kwake! Akifanya kwa watu kumi 6500 inakuwa posho daily.
  4. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Mara ya pili hii, jana nlikuwa nawahi sehemu wakanipa tiketi inasoma saa 8 mchana wakati muda huo ni saa 3 kasoro usiku. Nimefika mbele kidogo ile kuisoma na kukuta hivyo, wakati nairudisha eti ananipanga kwamba huwa wanatoa tiketi nyingi na zinazobaki hawezi kuzitupa![emoji23][emoji23][emoji23]...
  5. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo usafiri wa Mwendokasi

    Habarini wakuu! Ndugu abiria mnaotumia mwendokasi kuwa makini, kuna baadhi ya wanaokatisha tiketi kwenye vituo siyo waaminifu, wanauza tiketi iliyokwisha tumika tayari na wengi wetu hatuangalii muda! Wanachofanya baada ya kumpa pesa ni kujifanya kutoa tiketi na kuichana, kumbe ana tiketi yake...
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    "Eskim"
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Mkuu nipo kijana hapa naomba kufundishwa
  8. U

    JamiiForums Tanzania Anayehitaji kijana wa kazi

    Mkuu kama hardware pia unafundisha nahitaji
  9. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Unakufuru mkuu, anaepaswa kusujudiwa ni M/mungu pekee!
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa hii infinix smartphone

    Mpelekee fundi, hako ka'sensor unaweza pata kwenye simu mbovu mbadala wake ama akikosoma huziba na kitu anachoona kinafaa but haita function automatically
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwa hii infinix smartphone

    Jibu hili hapa
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ink Cartridges HP 655

  13. U

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha MRI & CT- scan

    Habarini wakuu! naomba kujuzwa gharama za kipimo cha MRI na CT- scan, nataka kufanya kichwani. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa wanaJF.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Sorry mkuu, kama hajaridhia kujitolea mimi nimeridhia lakini nina diploma.
  15. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Point yangu hapa ni hawa wanaokula kimasihara wote wanakuwa wamepiga tough game, but hawakiri kuwa walipigiwa tough game!
Back
Top Bottom