GanaJr
Senior Member
- May 26, 2020
- 120
- 215
Ndugu zangu naombeni msaada. Kuna hii simu natumia infinix.. Tatizo lake ukipigiwa simu ukapokea inakuwa kama imezima yaani huwezi kukata mpaka aliyekupigia akate yeye.. Hata ukipiga simu inakuwa hivyo hivyo tuu huwezi kukata maana inakuwa kama imezima.. Naombeni msaada wakuu maana inanitesa Sana.