Recent content by Unidentified object

  1. U

    JamiiForums Tanzania Anayeamini kuna vita ya kupambana na madawa ya kulevya nampa pole

    RC. Makonda, Ajiandae kulipa mabilioni kwa kudhalilisha watu bila ushahidi. Ungelisoma sheria, kanuni, taratibu na desturi za kuendesha mambo makubwa kama hayo usingeitia hasara serikali kiasi hicho, subiri uone msemo wa sheri ni msumeno ndo umekufikia sasa. Acheni kuendesha nchi kibabe Spika...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuvuliwa ukuu sekondari kuendane na maafisa elimu mikoa na wilaya zifuatazo.

    Tatizo la elimu Tanzania si la watendaji pekee, tatizo kubwa ni mfumo mzima toka chekechea mpaka Chuo kikuu, na utendaji wa wizara toka nzima toka utawala katika chekechea mpaka Wizarani. Elimu haina vision wala mission, kinacholengwa ni kuhitimu tu na ufaulu kuongezeka, Wakati wenzetu huku nje...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Majina vigogo wa Unga: Naomba Ikulu inipatie niwataje bila mazingaombwe

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, orodha mnayo tajeni majina ya hao wauza unga.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Bombardier Q400 yapata hitilafu Mwanza

    Waulizeni bombadier waliwezaje kujenga ndege tatu mpya ndani ya miezi sita, hakuna project ya namna hiyo katika aviation manufacturing industry kuna kitu kinahitaji majibu ya haraka, otherwise tutarajie janga kubwa katika katika eneo hilo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla: Ufafanuzi wa kauli yangu ya "Kutoka Nje ya Box"

    Naibu Waziri huwezi kuwa inspire vijana hapo Tz kwa kwa struggle yako hiyo, tatizo ni mfumo wenu na serikali yenu ya chama cha mapinduzi ambayo imeshindwa kufungua fursa vijana wawekeze unavyodhani. Sera mbovu, hakuna agenda maalumu za taifa. Juzi you came here with big result now BRN, hii kitu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Hizi Bombadier ni mitumba? mbona mapema tu zishaanza kupata hitilafu

    Ingieni kwenye website ya bombadier watasema tu ukweli!!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Academics &Professional CV ya Deogratius Nalimi Kisandu

    Hiyo ni ID siyo CV kamanda rudia tena
  8. U

    JamiiForums Tanzania Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

    Ikiwa humu kada ya kati na wasomi hawaelewi hiyo nchi yetu mna kazi kujua maana ya uchumi nini. Hiyo uchumi si kitambo mtatujulisha mmebakia kusifiwa na world bank iliwazidi kupora rasilimali za nchi kupitia makampuni yao ya kibepari. You folks get up stand up, nchi uchumi unakwenda kombo huo...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania na dunia kwa ujumla hakuna Njaa

    Kasome reports wa WFP na FAO ndo utajua njaa iko kwa kiwango gani duniani acha kukurupuka. Angalia somali, ethiopia, sudan, Eritrea, afghanstan, syria n.k
  10. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna viongozi wanaolipwa na serikali ya Misri ili tusitumie maji ya ziwa Victoria

    Serikali ifanye maamuzi juu ya suala hili, siasi iwekwe pembeni maji yatoke kwa ajili ya kilimo kikubwa cha umwagiliaji kanda ya ziwa. Ni aibu taifa halina maji ya kunywa, mifugo na watu wanachangia maji ndiyo maana bajeti yetu ya afya lazima ipande kila mwaka kwa ajili ya kutibu magonjwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kufikiria kwamba Uturuki watatoa mkopo nafuu wa Reli kuliko China ni kujidanganya

    Diplomasia ya kimataifa ni taaluma na unahitaji wataalamu kukushauri kujua mwelekeo wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani na si vinginevyo. China is the best deal now, kama unataka kufanikiwa hawa jamaa wameukamata uchumi wa dunia sasa halafu unakimbilia uturuki !!! Uturuki inatafuta kuungwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maajabu Muleba, Walidharauliwa ila bado wamechagua tena CCM

    Chaguzi za Africa zimetawaliwa na mambo makuu 3 1. Mifumo duni ya kikatiba kuhusu chaguzi, hili ni jambo pana sana 2.Kiwango kikubwa cha Ujinga nalo pia ni pana sana 3.Umasikini ulokithiri kiasi cha kuathiri fikra na maamuzi
  13. U

    JamiiForums Tanzania Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo

    Huyo ni kati ya Maprofessa wenyefikra duni sana, hajui ancho kizungumza. Upinzani wa Tanzania ni kati ya opposition nzuri sana Afika ambazo zimeendesha siasa zake kwa hoja makini kwa miaka ishirini sasa, aangalie ukuaji wa vyama katika mifumo ya maamuzi ya kisiasa. Uchawara anaouzungumzia yeye...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Tanzania Kuna Baa la Njaa? Upungufu Mkubwa Chakula au Hofu ya Ujio wa Njaa?

    Kumekuwepo na tetesi hapo nchini kwetu za kuwepo kwa janga la njaa, jambo ambalo limekanushwa kwa kauli kali na Rais wetu katika mkutano wake pale Bariadi. Pamoja na kwamba tuko nje ya nchi yetu lakini tunaona si jambo jema kukanusha ukweli wa tukio kubwa kama hilo, hususani kama limesha anza...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Kumekuwepo na tetesi hapo nchini kwetu za kuwepo kwa janga la njaa, jambo ambalo limekanushwa kwa kauli kali na Rais wetu katika mkutano wake pale Bariadi. Pamoja na kwamba tuko nje ya nchi yetu lakini tunaona si jambo jema kukanusha ukweli wa tukio kubwa kama hilo, hususani kama limesha anza...
Back
Top Bottom