Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

Ikiwa humu kada ya kati na wasomi hawaelewi hiyo nchi yetu mna kazi kujua maana ya uchumi nini. Hiyo uchumi si kitambo mtatujulisha mmebakia kusifiwa na world bank iliwazidi kupora rasilimali za nchi kupitia makampuni yao ya kibepari. You folks get up stand up, nchi uchumi unakwenda kombo huo, serikali zilishaachana na kazi ya kuendesha uchumi hiyo kazi ya sekta binafsi na wananchi mmoja mmoja. Unaondoaje umasikini bila ku circulate fedha kwa watu masikini wapate mitaji wawekeze! Tatizo ni fikra za ki socialist zilizopitwa na wakati.
 
kupora rasilimali za nchi, kwani wameacha au unajitoa ufahamu
 
Huu nimwanzo tena nahivi tunawatalam wachumi kupitia mitandao yakijamii mbona yatasikikika mengi mara moja ya kampuni kubwa ya simu imefungwa Leo imekanisha Mara dangote kafunga kakanusha siasa raha sana sivi yupo ktk anguko lakiuchumi kesho single mpya sijui hipi​
 
Mfalme JUHA
 
Hii ni analogy nzuri sana. Kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba Rais Rooservelt aliingia madarakani mwaka 1933.

Rais Rooservelt ndiye alikuwa muasisi wa utaratibu wa tathmini ya siku 100 za rais kukaa madarakani. Katika siku zake 100 madarakani, Rooservelt alipeleka miswada 13 ya sheria bungeni.

Mabadiliko makubwa aliyoyasimamia Rooservelt aliyapa jina "The new deal", ikiwa ni pamoja na kuachana na sera za uchumi zilizotokana na nadharia za Adam Smith (Classical Economic Theory) ambazo zilikiwa zinajali tu matajiri na wawekezaji na akakumbatia nadharia za kiuchimi za John Keynes zilizosisitiza serikali kuratibu shughuli za kiuchumi ili manufaa ya kustawi kwa uchumi yawanufaishe wote.

Ni wakati wa urais wa Rooservelt ndipo taasisi imara za kiuchumi (kama CMSA, FCC, nk) zolipoanzishwa huko Marekani na kuliwezesha hili taifa kuwa kinara duniani kiuchumi.

Haya yaliwezekana kwa Rooservelt kwa kuwa alikuwa na muongozo wa imani ya kiikadi kisiasa, pamoja na mrengo wa kiuchumi, ambavyo vilimpa dira ya kufanya aliyoyafanya na kufanikiwa.

Hizi sifa Magufuli hana. Ni vyema akatumia zaidi washauri wake wa kiuchimi na kuachana na kutafuta umaarufu. Awe strategist zaidi.
 
Ulitakiwa useme ni Mambo gani unayaona hayapo vizuri kwa utawala huu.

Kwa sababu, Mishahara analipa kama kawaida, yeye anataka kodi yake tu halali ilipwe.

Labda useme kwamba, Rais alegeze masharti ya kuweka fedha kwenye Bank Binafsi ili watu na makampuni wakope, hapa Rais anaweza kukaa na jopo lake na kuandaa utaratibu mzuri wa kuzitoa Fedha BOT na kuzipeleka kwenye Mabank binafsi huku BOT ikizi-monitor lakini Bank nazo lazima zidai kwanza madeni yao toka kwa waliowakopesha.

Mimi sioni tatizo lolote juu ya Utawala wa JPM Zaidi ya kusikia malalamiko ya watu kuwa hakuna pesa mifukoni.
Sasa hilo sio tatizo? Kweli hii tanzania
 
Kwa hiyo hilo siyo tatizo? Kwani kulipa mishahara ndo kigezo cha uchumi kuwa mzuri?
 
Ukiwa muajiriwa una uhakika wa mshahara na hautoona utofauti wowote. Kwa wafanya biashara ndio wanajua hali halisi ya uchumi.
Mfanyabiashara ndio anajua hali ya uchumi wa nchi ukoje na sio muajiriwa anaetegemea mshahara wa mwisho wa mwezi.
Nenda kariakoo ukaulize hali ya biashara ikoje ndio utajua.

Huyo mfanyabiashara wa kariakoo na kwingineko siku hizi anabanwa kulipa kodi kama mtanzania mwingine tofauti na zamani ndio maana analialia. Je, sio haki kumdai kodi?

Mikopo siku za nyuma ilikuwa inatolewa kiholela holela tu ndo maana taasisi nyingi na mabenki yanayokopesha pesa yameishia kupoteza pesa kwa kutorudishiwa. Je, hii ilikuwa sawa?

Tunaambiwa hela za taasisi za serikali kama tanapa na wengineo zilikuwa zinakaa kwenye mabenki na serikali ikizihitaji inazikopa kwa riba kubwa. Je, hii ilikuwa sawa? Na hela hii nyingi ndio ikafanya benki hizo ziwe zinakopesha kila mtu bila kuangalia nani anaweza kurudisha na nani hawezi. Mwisho wa siku ni kuwa na fedha miiiiingi mitaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom