Recent content by ungie

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tokea mtaani hadi bungeni - Profesa Jay

    Jana Mkude Simba ndyo anajifanya kumpongeza wakati alikwenda kupiga show mikumi na kumponda J ili asipite.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kagasheki achukua ambulance yake baada ya kushindwa uchaguzi

    Hata Mathayo alivyoshindwa Musoma mjini 2010 aliwanyang'anya wanafunzi madawati aliyotoa kama msaada akiwa mbunge.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kero: George Marato wa ITV

    Mimi nikishasikia ana report Marato nabadili Chanel kwanza the narudi. Sipendi kumsikia.
  4. U

    JamiiForums Tanzania UKAWA mtumieni mama Regina Lowassa kwa namna hii

    Kwa hili wazo naunga mkono kabisa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Bado Lowassa ana nafasi kubwa ya kushinda

    Ushindi kwa Lowasa upowzi kabisa.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee atinga kituo cha kukusanya kura na "afisa" feki wa tume ya uchaguzi...

    Umekula kiporo nini?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Steven Wassira adai hakubaliani na ushindi wa Easther Bulaya

    Tyson atulie sasa alee wajukuu. Toka enzi ya ileee apishe.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Halima Mdee

    Nampongeza sana Halima maana walitaka kumpora tonge mdomoni.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Acha umbea
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hi ni aibu kwa Taifa miaka 50 ya uhuru, bado kuna watu wengi wasio jua kusoma na kuandika

    Hiyo janja tu.. Wameshauza haki yao kwa vicent vya siku moja kwa miaka mitano.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Musoma mjini chinja mathayo apotee kabisaaa.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana Mungu awape faraja.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

    Ukipewa bure nawe toa bure. Kahongwa ma jamaa kaona akukatie kidogo.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Girlfriend wangu kanitumia hela bila kumuomba

    Ile ya kiwanja ili uongezee?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Mimi kwa kipindi hiki nipo kwenye baridi kali sana ila tatizo ninalo pia.
Back
Top Bottom