Recent content by unejoune

  1. unejoune

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Mkuu unamaanisha, kwamaelezo yako wewe ni bikra, na mabikra kuolewa ipo kazi!!
  2. unejoune

    JamiiForums Tanzania Will he or won’t he? That’s the question!

    The main probability as I foresee is returning back to the older party, time will tell
  3. unejoune

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia ya kusema tunatoa harufu sehemu za siri, baadhi yenu mna shahawa zenye harufu kali

    Mkuu in my life, nilikutana nayo moja ambayo unaomba iishe upesi maana ukikatisha utaonekana doro, usiku huo huo nikatoa shuka na kupeleka mtoni kurudi chumba chote hakikaliki mpaka asubuhi. Lakini ninavyoelewa, ni ugonjwa ambao unahitaji tiba, aidha harufuzingine ni za kawaida kuonesha upo...
  4. unejoune

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini gredi C students wanafanikiwa sana maishani?

    A na B ni watendaji in future na C ni kiogozi wao, D ni mwanasiasa, yaani yuko juu ya wote, he is a risk taker. The more you take a risk the more you get big returns.
  5. unejoune

    JamiiForums Tanzania Hali ya Tundu Lissu imeendelea kuimarika na sasa anaweza kula mwenyewe

    He is a real man in the real sense, we the rest, are coward. Get well soon, Tanzania adores you more than you would imagine. Your resemblance, is truth. Ukweli humweka huru kila mtu aaminiye.
  6. unejoune

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me madame s

    Hbd Madame S
  7. unejoune

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya leo yapambwa na habari za Lissu

    He is a man, really, not a coward like the rest of us. He stands for all in as far as Tanzanians' rights is concerned.
  8. unejoune

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana CHADEMA wamefanya kusema Serikali ndiyo iliyomshambulia Tundu Lissu bila ushahidi wowote!

    Really, hekima na busara ni bora kunyamaza
  9. unejoune

    JamiiForums Tanzania Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

    kweli watu wana maneno, mbombo jilipo
  10. unejoune

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutafuta mtoto kwa muda mrefu na kukosa hata hisia za kufanya nae mapenzi sina

    Sure mkuu, kuna umuhimu wa kupima ili kujua sexual status za kila mmoja, bahati mbaya wamama ndiyo huwa wanalaumiwa. na tabia ya mwanaume kula chipss au diet isiyoeleweka inachangia.
  11. unejoune

    JamiiForums Tanzania Barabara za Marekani hazilali kwa kuingiza pesa; kwanini tusiige?

    Sawa kabisa Mkuu, hali hii pia ipo nchin Malaysia ambapo barabara kama inayoanzia Uwanja wa ndege imejengwa na Taasisi binafsi na watumiaji hulipia road toll. Serikali imeruhusu private sector kuform partnershp na Serikali ambayo yenyewe hupata mapato yake kutokana na kodi. Miundombinu yake ipo...
  12. unejoune

    JamiiForums Tanzania Naomba mumshauri kwa upole huyu kijana

    Usimkubalie, ana hasira kwa kupoteza muda na vitu vyake kwako bila hata kukupa busu papuchi ndo kabisa!! Atakuudhi mbele ya safari. Jua kwamba mwanaume akikupenda sana na akaona na kufeel your inner most, hatarudi tena kwako na atakuwa amemaliza na mwisho atakudharau mpaka utajuta.
  13. unejoune

    JamiiForums Tanzania Maybe we belong here

    So sad and so disappointing yaani imeniharibia siku
  14. unejoune

    JamiiForums Tanzania RIP Huba Diwani crew wa ATCL na baadae Fastjet

    RIP , alikuwa anasumbuliwa na nini Sent using Jamii Forums mobile app
  15. unejoune

    JamiiForums Tanzania Kuna yanatokea duniani kama upo tanzania na siasa za ki-Tanzania

    Asungwile Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom