Recent content by UNDULE ROBERT

  1. U

    Inakuwaje wanajeshi (JWTZ) wanalinda Fiesta?

    Uko sahihi mkuu, lakini nadhani hujanielewa mpaka mwisho, nimesema siku hizi kila anayevaa magwanda ya mabaka watu wanadhani ni JWTZ. MIE NGOJA NIKALALE
  2. U

    Inakuwaje wanajeshi (JWTZ) wanalinda Fiesta?

    Angalieni hata vituo vinavyotoa haya matangazo. Unawezakuta anayetangaza ni wale makanjanja wetu. Ni vema hii wanajf wafanye upembuzi kabla ya comments. Haipo na haitatokea jw ilinde fiesta. Labda wangeweza kulinda kama hiyo ingefanyika kambini kama kwenye ukumbi wa lugalo. Watangazaji hawa...
  3. U

    Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

    Wana jf kuna tetesi kwamba aliyekuwa mbunge wa igunga ndugu rostam alikodi watu na kuwasafirisha kwa ndege kutoka dsm kwenda igunga kwenda kulia na kuzimia ili ionekane watu hawapendi ajiuzulu. Mwenye habari kamili atujuze
  4. U

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Plse ladies and gents don't let this persist
  5. U

    Makinda na Bunge la kelele za taarifa, mwongozo.

    Mkuu ukiambiwa we ni hopeless utakuwa hujakosewa
  6. U

    Upendeleo kwa Wanawake una Faida kweli Tanzania?

    Mkuu uko sahihi, lakini usiwaangalie hao tu. Lengo la nafasi maalum lilikuwa ni muhimu lakini kama unavyojua mabaya hayakosi kama ilivyo tumeona wabunge wengi wa viti maalum wana upeo mdogo, wengi wanakwenda kutoa taarifa bila research, wengi pia hata uvaaji wao unapotosha maadili ya kitanzania...
  7. U

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    Nadhani shibuda yuko sasa. Anastahili kuheshimiwa kwa mawazo yake. Cdm wajifunze nini maana ya demokrasia. Mie nakubaliana naye kuwa posho za wabunge ni kidogo, lakini ningempongeza kama angeishauri serikali jinsi ya kuongeza mapato ili angalau hata kima cha chini kingekuwa milioni moja, mbunge...
  8. U

    Chadema yaibomoa vibaya ccm

    mkuu hizi data zimejaa ushabiki siyo uhalisia. Ni kama utafiti wa redet. Hii 80% umeipataje, umemhoji nani na nani?
  9. U

    Hussein Bashe: Wabunge wa CCM acheni kupinga kila jambo!

    Mkuu uko sahihi. Hapa kinachotakiwa na masuala yenye maslahi kwa umma, siyo mtu mmoja mmoja.
  10. U

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    MCL The Citizen Mwanaspoti Nation Monitor Digital Paper Ingia MwanzoContactsEmail Wed 15 June 7:51AM Mwanzo Habari Biashara Michezo Burudani Ajira...
  11. U

    Jk aanza kumuandaa mrithi wake wa kiti cha urais ccm

    Thread haina mashiko hii.
  12. U

    Shekif ukuu wa mkoa na ubunge

    Wakuu lugha tafadhali iwe ya kistaarabu. Tusome jf rules
Back
Top Bottom