Kuzirai kwa baadhi ya wananchi wa Igunga kutokana na kujiuzulu kwa Rostam!!

wanaichi kuzimia hayo ni matatizo yanayotokana na kushindwa kwa serikali ya CCM kuwapatia afya bora wananchi wake na wala co kujiuzulu kwa Rostam ujua watub sasa wanamatatizo mengi sana hivyo kuzimia co geni anyebisha hili aende kwenye mikutano ya hadhara utaonaa hilo. je tujiulize kama mtu kujiuzulu tuu anazirai je / angesikia kafa angeanya ninni?
 
Wana jf kuna tetesi kwamba aliyekuwa mbunge wa igunga ndugu rostam alikodi watu na kuwasafirisha kwa ndege kutoka dsm kwenda igunga kwenda kulia na kuzimia ili ionekane watu hawapendi ajiuzulu. Mwenye habari kamili atujuze
 
Akili ya Tetesi Changanya na Yako!
Katika walioonekana Kuzimia ni Viongozi wa Chama Wa Pale pale Igunga sasa inawezekana kukodisha watu afu wawe viongozi wa Igunga!
Mie Mkweche Nakataa!
 
Kutoa Dar sina uhakika, lakini ninachojua wengi walitoka Nzega waliandaliwa na Bashe. Waliozimia huenda ni wa kweli walikuwa wanabenefit moja kwa moja, lkn walioandamana wengi ni mamluki wa kukodi.Walifika na mabango kupinga kujiuzulu hata kabla yeye hajafika kutoa ujumbe wake
 
A Harvard graduate can not do that my brother/sister... this can only be done for those who studied at Saint. Abdallah Academy.
 
ukiniambia watu walilia hadi kuzimia kwa kuwa mfadhili wao kajitoa na wanaona bila yeye maisha yatakwama hapo sawa.
 
A Harvard graduate can not do that my brother/sister... this can only be done for those who studied at Saint. Abdallah Academy.
Why not, Harvard graduates are very cleaver(cream) they can make a hoax deal in such a way that gov. makes double payments to purchase the same machine (Dowans).
 
kuna mimama minene niliiona kwenye picha za magazeti wanalia .... nafikiri wale sio wa igunga
 
nchi imekosa wazawa wa ukweli.....bila vita hakuna maendeleo hapa tz...
unataka vita je una hela ya kununua bunduki wewe? nyie ndio mtakimbizana kwenye kambi za wakimbizi kuongezea usumbufu nchi za jirani. Vita ikianza wataopata shida ni nani? ni sisi walalahoi na wenye hela zao watakitoa mpaka mambo yakipoa ndio warudi. acha upuuzi kijana.
 
He! kumbe na wewe ni mlalahoi, nilikuwa sijui.
 
Back
Top Bottom