Recent content by UndisputedChamp

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

    Kazi imeanza upya, aaah lakin subir kwanza tumalizane na bwana mkubwa kwa mkapa, TUTAENDA KUMWIMBIA ASIWE NA WASI.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaishi Dar, lakini hawajui hapa ni wapi

    Hapo ndio alipokuwa anauguziwa namba 1 makumbusho apo na picha umepigia juu Millenium Tower
  3. U

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Mzena inamilikiwa na nani? Kwanini iitwe Mzena?

    Mali ya serikali ipo mule ndani kwenye nyumba za mawaziri na usalama wa taifa, OVAA
  4. U

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kufungua kesi ya Madai dhidi ya Lissu na Wenzie

    sa utashindaje kesi na chuma kishayeyuka ??
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

    Sisi wazalendo tunamwomba paulo makonda asafishe kabisa kidubri chake aka ndogo yake ile sababu wahuni watapita nayo babake kadondoka
  6. U

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

    babu yao kina john babtist korona imemfyeka kmmk Tuanze Mwanzo, its official nimeona mama VP anatangaza
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

    duuuh jamaa kakubali kina jiwe sio bora aisee, kajificha wapi bangosha, hata akae mwaka mzima yupo kwene coma tutauliza mpaka waseme ukweli, nchi inaendeshwa kama gheto la watu wa CCM.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu atagombea Urais wa JMT 2025?

    Magufuli kajificha wapi ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnacheza na Mungu ninyi... anapiga kazi kimya kimya sio ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Huyo alosema bila safari hupewi pasport ni mpumbavu na hajaelimika
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    Aisee kuna vitu vingi sana vinafanyikaga online wanatakaga namba za passport viko kibao yan daaah kazi ipo...sio kusafiri tu
  11. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania: Bila dhumuni la safari hakuna kupewa pasi ya kusafiria (Passport)

    halina akili halijasoma shulee
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe hataki niolewe na mwanaye kisa mimi ni Mchaga

    aiseee pole sana
  13. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania African leader taken ill, admitted to city hospital

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom