Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Mar 6, 2018
12
45
Kama ungelikuwa mzalendo wa Taifa hilo ungejua kashfa za meremeta, Tangold na Deep green wahusika ni nani?..... Unajua kuwa Keby hotel ilikuwa mali NHC na sasa ni mali ya nani?.
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,071
2,000
Wote ni mashahidi huyu dada anaejiita mwanaharakati Maria Sarungi anavyozua taharuki na kuwajengea watu hofu mitandaoni.

Ni mtoto wa Waziri mstaafu maarufu mzee wa kashfa ya meremeta na kasomeshwa na hela za CCM mpaka nje ya nchi leo ndio amekuwa front kuitukana serikali, kumzushia mabaya kiongozi wa nchi na kuzua taaruki.

Naomba Serikali imkamate mara moja ana hatarisha usalama wa nchi kwa maslahi yake nasikia analipwa na mashirika ya wazungu kutuchafulia nchi yetu.
acha chuki kafanye kazi mimi km Rais nataka watu km Maria sarungi kwanza ni Dira yangu. yeye ili niwalishe wajinga km nyinyi.ni muhimu sana kuliko wewe unasifu tuuu!!
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,628
2,000
Serikali ya wakamataji...balada ya kujibu hoja easiest way ni kukamata na kunyamazisha...

Haya mwamshemi wa kwenu basi tuone!!
 
Mar 10, 2021
42
125
Sisi wazalendo tunamwomba paulo makonda asafishe kabisa kidubri chake aka ndogo yake ile sababu wahuni watapita nayo babake kadondoka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom