Recent content by UndercoverTrader255

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nina mil 4 naombeni Suzuki escudo

    Ipo igunga tabora kwa million 5
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa Feminist walipofikia ni pabaya sasa

    Wew ndo hujaelewa apo anezungumziwa mke kulipwa na sio mfanyakaz kama mfanyakazi sijui umeishia elimu gan[emoji16][emoji16]
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Nimegundua humu wengi wako usalama mtu wa kawaida huwez jua haya yoote sasa kwann serikal inawaacha tu naskia pia wapo na wakenya wana vyeo
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha miti hakina faida kwa sasa. Ni biashara kichaa!

    Alieanzisha huu uzi akili hana afu kakutana na black mentality wenzake mawazo hasi yamejaaa saaana
  5. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sensa kwenye jicho la kimahusiano

    Sensa ya mchongo hii ila uhalisia wanaume sisi ni wachache sidhan kama tunafika ata 28m
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

    Onana na wenye offc za mikopo wakupe madini
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

    Yani unachokifany ni sawa na alienunua pikipik 3 za haojue kwa 7.5m afu akatoa mkataba zikamletea faida ya 6m na pesa yake kurud afu wew unatak uweke 50m kwa return ya kijinga kam hiyo
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kuweka mzigo wangu Finca Bank

    Acha ujinga bora uchukue million 10 ufungue office ya mikopo ndan ya miezi 6 pesa ina uhakika wa kurud na kubaki unakula faida narudia acha ujinga yaaan uweke 50m kwa return ya 7m kwa miez 12 huo ni uzwazwa amkaaaaa amkaaaaaa amkaaaaaaaaaaaaa
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha ulezi

    Ahsanteni kwa michango yenu
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: Nimeyakimbilia maisha naenda kuumbuka!

    Piga boda acha ufala pesa ya chap chap 20---30 elf huwez kosa daily
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha ulezi

    Habari wana JF, Napenda kujua zaidi kwa wakulima wanaofahamu kilimo cha ulezi namna ya kuandaa shamba, upandaji wake pia mavuno wastani kwa heka moja ni kiasi gani. NB: Wanaojua tu au aliewahi kushuhudia kilimo cha ulezi na mavuno yake.
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba wa ubatizo wa mwanangu ana uhusiano wa kimapenzi na mama wa mwanangu. Navukaje hapa?

    Huyo mtoto sio wako ni wa jamaa ndomaan alitumia hiyo kama njia ya huyo mtoto na baba yake wawe karibu kwa kivuli cha ubatizo aseeee amkaaaaa amkaaaaa amkaaaaaaa usingizini mtoto si wako kapime DNA na sitisha hudumaaa
  13. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu huyu bodaboda

    Kawaida asipoleta pesa ndani ya siku 10 ndio mkataba unavunjwa bhana au 15 na hapo hamdaiani sasa huyu jamaa anaomba ushauri wakat angerejea kusoma mkataba unasemaje
Back
Top Bottom