Nimekuelewa sana, sina sababu ya kuhoji chochote jinsi ulivoelezea madhara ya zinaa,nikiri kuwa sijawai kupata hii elimu popote zaidi ya kusikia au kusoma makatazo kuwa zinaa ni dhambi au uleta magonjwa na mwisho mzinifu uenda motoni, leo umeniongezea ufahamu
tofauti na niliouzoea kusikia...