Recent content by Uncle Z

  1. U

    JamiiForums Tanzania Utapiga kura mwaka huu?

    Sina mpango kabisa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

    Andika barua ya ruhusa bila malipo ya mwaka mmoja ila siku mambo ya kibuma unalud kwenye ajira
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaomba ushauri: Alimuacha mke kwa miaka 9 (bila kumpa talaka kwa ndoa ya kiislamu), sasa anataka warudiane wakati mke alishaolewa!

    Wewe jamaa tafuta kibunda tu ...ulimuacha mwenyewe sahiz unataka umrudia miaka 9 huna aibu na unaomba mtaji mwache mwenzio alea watoto
  4. U

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Mkuu umesahau mashine ya kuchania mbao maneno yaliyo na miti Njombe , iringa nk ila huko kuna wadau wengi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Atakayeweza kuniloga nitamlipa Milioni 25

    Leta majina yako origino nikugeuze uwe kichaaa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kama Rais Samia ataendelea na Urais baada ya 2025

    Mama sisi walipa kodi tunaumia sana tunavuona kod zetu zinatafunwa na wachache tena bila huluma mhe Rais tunakuomba wote walitajwa wachukuliwe hatua na mali zao kutaifishwa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

    Ila hivyo vyote inafaa ukiwa kwenye nyumba yako mwenyew ndio uta enjoy zaid
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

    Mama inabidi awe mkali kwa vitendo sio walipa kodi tunaumia sana watu wanatafuna hela kirahis kabisa ..fukuza wote taifisha vitu vyao weka ndani itakuwa fundisho kwa wengine.
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Mara nyingine unakuwa ni utani tu anakuuliza ili muendelea na story
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa huduma CRDB Arusha, kuna tatizo gani?

    Hadi hk hivohivo
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojifunza uchawi nikiwa ningali mdogo shuleni

    Tunasubili
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wakala nauliza :Airtel money mnakwama wap? Igeni Tigopesa au Mpesa

    Aitel kamishen zao ni ndogo sana. . Yaan unaweza hudumia wateja wengi lkn malipo yao had unashangaa
Back
Top Bottom