Recent content by Uncle john

  1. Uncle john

    The best short-time Guest House in Arusha

    kuna kila dalili kuwa wote nyie ni vicheche. Uchumba unaanzia gesti? Ila akili ni nywele kila mtu ana zake. Ila tukumbuke hata watoto wanafika kwenye hii site, sijui wanajifunza nini!
  2. Uncle john

    kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

    acha kumtisha mwenzako, maisha ni jinsi mnavyoishi
  3. Uncle john

    kuolewa rahaaaaaaaa,kuzaa nako utamuuu

    chini ya miaka 18 unahesabika kuwa ni mtoto sasa wewe miaka 17 umezaa! Hizi si ndio mimba za utotoni. Aliyewaozesha kwa wakati huo inabidi akapimwe akili, nadhani wewe hivi vibinti vyetu unavifundisha majanga! Form 4 ulimaliza na miaka mingapi?
  4. Uncle john

    Nampend huyu kaka anaeitwa money stuna.....can we seal a deal?

    i think this is daylight robery. Wizi mtu. Inawezekana mambo iko ki face book. Hapa ndio mjini bana!
  5. Uncle john

    Huyu ndio mwanamke wa kweli kuwa nae katika maisha.....kuliko huyu hapa..kwa kuangalia nyota hii

    ukipora wanamke wa mtu nawe utaporwa. Ni kutoka kwa bwana mungu na si mwenye bwana. Mungu anatambua ndoa na si vimada.
  6. Uncle john

    Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

    hako nako kaneno umenena
  7. Uncle john

    haya yanatutokea wengi

    kama wema na diamond
  8. Uncle john

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    ukweli ni kwamba tabia nyingine zinakuwa nia za kurithi au saikological effects walizozipata kutokana na matendo ya wazazi wao. Mfano katika familia ambazo baba na mama wanapigana usiku, kutukanana au kusema uongo na watoto wao mostly likely they gona do the same in the future, kama ni wakiume...
  9. Uncle john

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    ukichunguza vizuri mengine yana ukweli, je unaweza kutuambia saikological effects anazopata mtoto wazazi wanapotengana? Ni kwmba ni future naye hataona umuhimu wa ndoa!
  10. Uncle john

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    tabia inahusika kwenye mapenzi, ukipenda kichwakichwa mengine ukayafukia jiandae kwa majanga huko mbeleni. Hata kama hela iliyopo si ya kujenga, usanii utatumika kwenye hata kodi ya meza NB: watu wa aina hiyo wanakuwa na asili ya kusema uongo, ukimpenda basi uvumilie!
  11. Uncle john

    Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    Pia usije kuolewa na mtu ambaye wazazi wake waliachana au kutengana kwani naye hatakuwa anaona umuhimu wa ndoa hata kama ameolewa, hii inatokana na kuathirika kisaikologia, uwezekano wa ndoa kuja kuvunjika baadaye ni mkubwa. Kama huamini chunguza!
  12. Uncle john

    X Boyfriend anataka kumuoa wifi yangu

    Wifi yako si dada yake, sasa atamuoaje?
  13. Uncle john

    Kila mdada kajazia nyuma, loh

    yaani wameshajua udhaifu wetu ni kuangalia hiyo mambo huko nyuma, ila it mean nthing zaidi ya udhaifu. Kwanza ndio unakoenda kukutumia au ndio udhaifu.
Back
Top Bottom