Recent content by Uncle Jei Jei

  1. U

    Hayati Magufuli, Rais aliyeamua kwa makusudi kujiwekea madoa kwenye utawala wake

    Wakristo tunasema "apumzike kwa Amani" Naamini Kuna kundi la watu wanakereka kusikia habari za Magufuri, itabidi mzoee kiongozi huwa haishi kuongelewa Binafsi niwe muwazi mapema tu, Mimi nimiongoni mwa waliosema, "Asante Mungu kwa kuitetea Tanzania" baada ya tangazo lile. Alikuwa mtu fulani...
  2. U

    Haya hapa madhara ya ukoloni kwenye ubongo wa wasomi wa Tanzania

    1. Wako tayari kuwaumiza wananchi wa chini kabisa kwa kuwaonea aibu wakoloni waliopewa jina zuri la wawekezaji. Rejeabu sababu wanazotoa za kuweka tozo kwenye miamala ya simu na ATM Hakuna asiyefahamu kuwa makampuni yanayotoa huduma ya mawasiliano nchini yanapata faida kubwa sana isiyoendana na...
  3. U

    Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

    Bila Shaka na wewe ni mmoja wa hao makarani. Inaonekana una hoja ya msingi unataka kuiwasilisha. Unatakiwa ukae chini utulie halafu upangilie hoja zako vizuri na utumie lugha fasaha ili ueleweke vizuri. Kama wewe ni mmoja wa hao makarani wa Moshi vijijini, napata mashaka na ubora wa takwimu...
  4. U

    Binafsi nakataa kuhesabiwa, kuna sheria yoyote ninavunja?

    Zoezi la Sensa ni kwa mujibu wa sheria za kimataifa na kwa Tanzania tunaongozwa na sheria ya takwimu Sura 351 inayoeleza kuwa kila mtu "anawajibika" kutoa taarifa sahihi katika zoezi hili na huyu atakayepewa /kusanya taarifa hizo "anawajibika" kutunza Siri za kila mtu. Taarifa zote zitakusanywa...
  5. U

    Je, hii ndio maana halisi ya Tume Uhuru ya Uchaguzi?

    Sikulifahamu hili, kumbe yule makamu mwenyekiti na wajumbe waliojitenga ni zao la uteuzi wa Kenyatta! Hata ikiwa hivyo, Kama sheria za tume ziko kimya kwa aina ya watu hao bado sio sahihi maana wanaweza kuitia nchi kwenye machafuko muda wowote. Nadhani tume ili kuwa huru zaidi na kuwa sehemu...
  6. U

    Je, hii ndio maana halisi ya Tume Uhuru ya Uchaguzi?

    Watanzania tumekuwa tukililia sana kuwa na Tume huru ya Uchaguzi. Hivi majuzi Kenya wamefanya uchaguzi wao na karibu asilimia kubwa tumewapongeza kwa kufanya uchaguzi wa wazi kabisa na kushirikisha vyombo vya habari kwa kila hatua Wengi wameipongeza Tume iliyosimamia uchaguzi huo. Hata hivyo...
  7. U

    Ushauri wa Bure kwa Waziri Ummy Mwalimu kuhusu NHIF

    Mfuko wa NHIF na watoa huduma wanatakiwa wakae na kukubaliana kwa pamoja namna gani wasaidiane kutoa huduma kwa wanachama. Zamani ulikuwa ukienda hospital na Kadi ya NHIF unapata huduma kwa mbinde na kwa manyanyaso sana. Wakati huu sababu ilikuwa kwamba NHIF wanachelewesha malipo Kwa Sasa...
  8. U

    Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

    Nianze na ushauri katika maandishi yako; wewe ni senior, msomi na nguli kabisa katika taaluma ya habari. Ni vema unapoandika uandike kwa lugha fasaha na kwa usahihi. Ukiamua kutumia Kiswahili tumia Kiswahili na ukiamua kutumia kingereza tumia kingereza. Kuchanganya lugha Kama ulivyofanya...
  9. U

    NHIF yasema baadhi ya hospitali huwaandikia wagonjwa wenye bima dawa zisizo sahihi. Hii ni hatari kwa afya, ni sawa na kuwanywesha sumu

    Labda Kama wewe ni Daktari unajaribu kutetea yanayofanyika ila katika hili uchunguzi wa kina unahitajika ili kutafuta suruhu ya kudumu. Hospitali nyingi hasa hizi policlinic wanatabia hiyo ya kurundika madawa kwa mgonjwa ilimradi tu NHIF bill isome kubwa Binafsi nakubaliana na NHIF katika hili...
  10. U

    Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Huyu hatakiwi kuondolewa barabarani na kurudushwa ofisini, anatakiwa arudishwe chuoni akafundishwe miiko (ethics) za kazi yake kwamba anapofanya hivyo anahatarisha usalama wa raia wema
  11. U

    Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Asante kwa ushauri na wewe toa ushauri kwa nchi ifanyeje ili nitakapokuwa nalima nyanya na mboga mboga barabara ziwe salama kwa watumiaji
  12. U

    Badala ya kuwaondoa trafiki wanatakiwa waongezwe na kuwaongezea mafunzo

    Kati ya mambo yanayoendelea kwa Sasa ni kauli ya Ndugu Kinana ya kutaka trafiki wapunguzwe barabarani. Binafsi simuungi mkono na IGP anatakiwa awe makini kushughulika na Jambo hili Pengine watanzania tumezoea kutotatua matatizo kwa kuanza na chanzo au mzizi wa tatizo. Tunapenda sana...
  13. U

    Dkt. Mwigulu L.N, (Phd) Pitia haya utapata jambo fulani muhimu

    Nikusaidie kusamarize uliyoandika ili Mwigulu akuelewe vizuri; 1. Kuacha ukaguzi wa kuvizia watumishi wa umma ili kuwakuta na makosa - mkaguzi awe muelekezaji 2. Kuachana na kanuni za kuwakandamiza watumishi kwasababu usitegemee aliyegandamizwa kutoa huduma bora. Sheria/kanuni kandamizi huleta...
Back
Top Bottom