Recent content by unbwogaboy

  1. U

    JamiiForums Tanzania Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    mbona huwa wanatuliza vurugu za ukawa sasa hao wanashindwaje?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nategemea kuvuna matikiti maji anayehitaji

    Habari yenyu wadau... Nawafahamisha kwamba ninategemea kuvuna matikiti makubwa kwa madogo mwishoni mwa mwezi huu wa tisa 2014, na yatauzwa kulingana na ukubwa wa tikiti lenyewe. kwa atakae hitaji au mawasiliano zaidi tafadhari ni pm.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Mkuu wee upo mkoa gani? me samaki naweza kupata so kama vp 2wasiliane tufanye biashara mkuu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mkataba wa kazi

    wakuu msaada, natuma ile online form ya TRA lakini inagoma inaniambia nijaze "vacancy" wakati sehemu ya vacancy haina kitu so nimeshindwa nifanyeje wakuu naombeni msaada...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    utakula ulipo peleka mboga.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Oxfam Tanzania wanahitaji country logistician

    mkuu nimejaribu kucheki kwenye hiyo MSF sijaona hiyo sehem ya sections naona mauza uza tu ya kifaransa mkuu. so kama vp embu nipe maujanja niitafuteje maana nime search lakini hola.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Natangaza NIA

    Embu rudi kicheni nahisi unaunguza ucje chezea nakozi bure.... Hii dream kaa nayo.
  8. U

    JamiiForums Tanzania Ukawa

    Mtoa mada umeniudhi sana na kwa mada ulotoa umeonyesha jinsi ulivyo mnafki...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kikatiba: Jk anaweza kumteua ridhiwan kuwa w/mkuu

    Tz kila ki2 kinawezekana bila hata kufata katiba. Katiba ndo nn tz?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Deni la Tanzania sasa lafikia trilioni 40, IMF yaionya serikali

    Nchi inakopesheka na wafanyakazi nao wana "KOPEKA" Uzuri wa wabongo hii issue ya cjui deni la taifa walaa haliwahusu wenyewe ni AMANI 2... Hivi wakuu hili deni linawahusu hata wazanzibari? Au niwatanganyika 2? Wabongo bei yamkate 2 ikapanda hawa mind na inawagusa direct ije kuwa cjui deni...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

    Bwahahahaaa.....akhaaa, pliiiz! Noma kweli mkuu me wananiudhi kinoma.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi hodi tena....

    wapi ni sign wap bucca maana sielewi ati..
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi hodi tena....

    Ennie nisipoenda kwa speed humu ctajua mambo mengi... So nataka kujua hizi mambo mapema bana.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi hodi tena....

    Lizy ndo liko wapi hilo maana humu njia kibao nicje potea bure..
  15. U

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi hodi tena....

    acha maneno mingi tinna wee peana me hiyo directional jinsi ya ku pm mazee..
Back
Top Bottom