msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
Kuna ugonjwa huu umeingia kwa vijana kushinda JF na Facebook wakijifanya wanasiasa wakitukana na kukejeli wakubwa,,, wakilalamikia ajira nchini hakuna (ni kweli) lakini nigewaomba kitu kimoja mjitahidi sana kutafuta kazi online kazi zipo online muda unaotumia kuperuzi posts au status ili ukomment waweza tumia muda huo kutafuta kazo pia huku ukimuomba Allah akujaalie upate.. update CV yako kwa format nzuri inayotakiwa format ziko nyingi kulingana na domain ya kazi uitakayao kama ni humanitarian au business, CV sio bible kumbuka ku uptade CV kulingana na hitaji la kazi husika mfano kama kwenye advertisment imeandikwa ,, desired voluntary experience;; na wewe kwenye CV yako hakuna na ulishawahi au una idea basi haraka ongeza kipengele hicho. kifupi CV lazima i reflect mahitaji ya mwajiri ili watakao screen CVs mwanzoni kabisa waone quality zako zinavyo randana na mahitaji yao... mimi kuna wakati niliwahi omba mara kadha kazi online kigezo cha lugha kikawa ni kikwazo (French) kuna sehemu ilikua lazima ili uendelee kujaza form systeme inakuuliza do you speack french?/ uki click NO basi systeme inakuambia sorry we can not proceed with application process... siku moja nikasema wacha niweke Yes.. nika weka Yes na nikaendelea na application,,,Alhamdulillah kenye selection nikapita na interview nikapita pia,, but wakaniambia nijifunze kifaransa na office itanisaidia... japo kwenye system ilionekama french ni must lakini na kwa sababu ilikua ni riziki yangu wakaonelea waniajiri na nijifunze lugha hii kazini.. leo niko DRC na kifaransa kimenza kupanda kiasi na kuna wakati natumia Bing translator au wasaidizi wangu.. sasa kwa kuanzia gonga hapa
1. Médecins Sans Frontières (MSF) International
2. MSF - Médicos Sin Fronteras
3. Save the Children International
4. Oxfam GB | leading UK charity fighting global poverty
5. ReliefWeb
hapo kwenye msf kuna sehemu utaiona imeandikwa sections upande wa kulia... ukifungua hapo utaona msf sections nyingi sana kama Belgium, France, Holland, Spain and greec (OCBA) Swiss hizi ni section ndani ya msf international zote zinaajiri interntional staff,, kwa sasa kuna kazi philipens, South Sudan, central Africa Republic, Palestine , Syria na Iraq ,Yemen, Jordan, DR Congo na kwingineko.... hakuna cross ni CV yako tu.
una swali uliza