Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Mtoto wa kiume usikubali kutongoza tongoza humu jamii utatongoza wanaume wenziooo oooo
 
Mwanaume kazi...! vunja msitu, hama dar es salaam kama huna cha kufanya, sio unasafisha vyoo kwa salary ya 120 elfu!

mwanaume kukimbia kijijini ni ujinga +ve++++++!
 
Mtoto wa kiume USISUKE NYWELE. USIVAE MLEGEZO. USIVAE HERENI. USIJICHUBUE. UKIINGIA CHUMVINI USISEME KWA WATU. USINYWE VIROBA. USIPUMULIWE. USILE CONE. usimbusu mama mzazi.

Na usichambie maji badala yake tumia toilet paper.
 
1: Hata uone kitu kimekaa poa
niaje,
hutakiwi kusema 'Awww,that's soo
cute! Huo
ni ushoga!
2:Haufai kusema haya maneno
kuonyesha
umeshituka ''Gosh!, Akaah! ama
OMG!
3: Ukiomba kitu haifai kusema
''Jamaaaniii au
pliiiz!
4:Ukitext usitumie ''Xo'
'Xema''Xaxa' 'Pouwar'
ama 'Xwirry!
5:Kummendea demu/mke wa mtu
au rafiki
yako, shemej shemej kibao. Shaur
yako,utakojoa dagaa
6:Hufai kuongelea washkaji
wengne ukiwa na
mademu.huo ni umbea
mwanangu
7:Rangi ya pink usitumie sana
hata kama
unaipenda kwenye vitu vyako
8:Demu akikukataa chapa
lapa.kiroho safi, na
sio eti uanze kudanganya masela
ooh yule mi
nishapiga
9:Usiongee ongee eti unaeza
kumpiga mtu
flan,huo ni utoto ,kama vip nenda
kampige
tuone
10:Usiwe mtu wa kununa nuna
ovyo.alaf
kuhuru vitu vidogo ,mfano msela
kachelewa
kujibu msg yako,bas unanuna siku
nzima,unamnunia nan?
11:kucheki tamthiliya,tena na
madem alaf
mnaanza kuadithiana ilivyo
kuwa,sijui
wafilipino nini..haifai kwa mtoto
wa kiume.....
 
1: Hata uone kitu kimekaa poa
niaje,
hutakiwi kusema 'Awww,that's soo
cute! Huo
ni ushoga!
2:Haufai kusema haya maneno
kuonyesha
umeshituka ''Gosh!, Akaah! ama
OMG!
3: Ukiomba kitu haifai kusema
''Jamaaaniii au
pliiiz!
4:Ukitext usitumie ''Xo'
'Xema''Xaxa' 'Pouwar'
ama 'Xwirry!
5:Kummendea demu/mke wa mtu
au rafiki
yako, shemej shemej kibao. Shaur
yako,utakojoa dagaa
6:Hufai kuongelea washkaji
wengne ukiwa na
mademu.huo ni umbea
mwanangu
7:Rangi ya pink usitumie sana
hata kama
unaipenda kwenye vitu vyako
8:Demu akikukataa chapa
lapa.kiroho safi, na
sio eti uanze kudanganya masela
ooh yule mi
nishapiga
9:Usiongee ongee eti unaeza
kumpiga mtu
flan,huo ni utoto ,kama vip nenda
kampige
tuone
10:Usiwe mtu wa kununa nuna
ovyo.alaf
kuhuru vitu vidogo ,mfano msela
kachelewa
kujibu msg yako,bas unanuna siku
nzima,unamnunia nan?
11:kucheki tamthiliya,tena na
madem alaf
mnaanza kuadithiana ilivyo
kuwa,sijui
wafilipino nini..haifai kwa mtoto
wa kiume.....

nakuunga mkono kwa 100%.
 
Back
Top Bottom