Recent content by umusacha hene

  1. U

    JamiiForums Tanzania Demu anachezea Simu Wakati Wa Sex!

    hamna kigoli hapo, hata mpira ukiingia golini goli linatambua sembuse huyo anaemuita kigoli @ anachezea simu! Hamna papuchi hapo lipo ............ tu. Mwambie akimbie bila hata kuchukua nguo.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kenya

    Kule maisha si lelemama kama bongo, serious kweli muda ndo pesa, (githeli & wali wao havina ladha nzuri) vyakula pika mwenyewe la sivyo kila weekend rudi bongo kama utaweza!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kikwete imefilisika rasmi!

    ni kweli au mi ndo sijaelewa?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa (badala kuomba waeleweshwe wao ni viburi,dharau,tambo,majigambo kibaya hawana ushahidi wa kwenye biblia, wana ushahidi wa kulishwa bila kuhakiki huyu kayapata wapi anatufundisha?) anyway Yesu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kanisani Pekupeku

    mkuu umenimaliza short & clear to the point!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Facebook Will Lose 80% Of Customers By 2017 - Researchers

    Yaani ipoteze tu hao wateja, haina mipaka!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Tutumie Youtube "KUJIKOMBOA" na Umasikini

    maamuzi, maeneo, gharama, muda na usalama wa mazao na kama ujuavyo mwanzo si lelemama. Ila shukrani sana kwa ushauri na usichoke kutujuza!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mke ni raha husumbuki kutafuta kondomu, wa kutafuta guest iko wapi ni raha mwanzo -mwisho.

    kuoa raha sana, unakuwa mfalme kwako japo majukumu hayakwepeki na umpate anaetambua kuolewa ni nini!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Ule ndo uimbaji, sio kurukaruka mijasho ikutoke mara kiduku, kata kiuno wanaokutizama wapate neno, sio wakusifie ati umecheza vizuri kumbe sifa na utukufu ni vyako?
Back
Top Bottom