Maisha ya kenya

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
Ndugu wanajf napenda kufahamu na kujua,,Changamoto ambazo utakutana nazo Ndani ya miji ya kenya!! kama Nairobi,Nakuru Lamu,Mombasa,,
Ukiwa kama mwajiriwa,,umejiajiri!! na vigezo vyote vya uhamiaji umekamilisha!!

Asantenii
 
Back in the days kuulizwa kipande popote, not sure if this is still the case.
 
Mji umechoka sana. Maisha magumu sana huko. Na kama huna hela unaweza ukaonwa kama chokoraa. Bongo nafuu sana.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Waenda mombasa weyeee?
Wakaribishwa sana kule shekh!
Watu ni wenye ukarimu sana n'joomba.
 
baada ya kuingia uhuruto madarakani,maisha yamezidi kuwa magumu.kila kitu kimepanda bei.
 
kule wenzetu wamepiga hatua alafu wanafuata sheria ukiwa unafanya kazi uwe una pesa mingi na kama utaamua kujiajiri fanya big investment hakuna ubabaishaji kama bongo people are always smart and serious.
 
Nairobi utakutana na vyakula visivyo na radha. Lamu & mombasa sio miji mizuri kuishi na hasa ukiwa unaenda na watoto
 
Kule maisha si lelemama kama bongo, serious kweli muda ndo pesa, (githeli & wali wao havina ladha nzuri) vyakula pika mwenyewe la sivyo kila weekend rudi bongo kama utaweza!
 
Back
Top Bottom