Recent content by umuofia

  1. umuofia

    Natafuta kazi yoyote ile jijini mwanza.

    Ipo sehemu gani chief...???
  2. umuofia

    Natafuta kazi yoyote ile jijini mwanza.

    Asante sana chikira mtabari nlishaenda hapo kwa gachuma
  3. umuofia

    Natafuta kazi yoyote ile jijini mwanza.

    Asante sana @ biashara mtaji @ healthy wealthy
  4. umuofia

    Natafuta kazi yoyote ile jijini mwanza.

    Habari zenu waheshimiwa wana jamvi,?mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32,elimu yangu niya Diploma in business administration na nina cheti cha "Marketing"...!!! Kwa heshima na taadhima nimekuja mbele yenu kunisaidia kupata kazi au kunipa connection ya kupata kazi sehemu yoyote ndani ya jiji...
  5. umuofia

    Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

    Smart 911 na mahondaw wote wanaume...!!!wanazengua tu
  6. umuofia

    Mtu wa masoko anahitajika

    Upo wap???
  7. umuofia

    Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Smg na Ak 47 ni aina moja ya silaha inayotofautishwa na mahali zilipotengenezwa tu,,smg imetengenezwa china na Ak 47 urusi
  8. umuofia

    Am looking for the post of a driver

    I am a Tanzanian optimistic gentleman,32 years old,living in Mwanza,holder of Diploma in Business Administration and Valid driving licence of class A,B & D . My previous working experience as a DRIVER CUM SALES & MARKETING OFFICER for three years has taught me how to drive vehicles safely and...
  9. umuofia

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Arv hizo ndugu
  10. umuofia

    Maoni;ni vitu gani vilikupa wakati mgumu wakati unaingia ndani ya JF kwa Mara ya kwanza?

    Mi mpaka saivi sijaona sehemu ya kuweka profile pic
Back
Top Bottom