Natafuta kazi yoyote ile jijini mwanza.

umuofia

Member
Mar 8, 2017
12
22
Habari zenu waheshimiwa wana jamvi,?mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32,elimu yangu niya Diploma in business administration na nina cheti cha "Marketing"...!!!

Kwa heshima na taadhima nimekuja mbele yenu kunisaidia kupata kazi au kunipa connection ya kupata kazi sehemu yoyote ndani ya jiji la Mwanza.Nina udhoefu wa kazi wa miaka 6 ambayo miaka miwili nliitumia kama " Custormer Service Representative na miaka minne mingine nikiwa "Driver cum sales and marketing officer kwenye office nyingine.

Lugha nazotumia ni kiswahili na kiingereza na pia nina udhoefu mkubwa wa kutumia computer na nina leseni " safi na halali " kabisa..!!!

Kwa yoyote atakayeguswa na ombi langu tafadhali sana awasiliane na mimi mda wowote na nipo tayari kuanza kazi mda wowote ntaohitajika kuanza..!

Natanguliza shukrani za dhati kabisa kwenu.

Nawasilisha.
 
Mkuu ukisha kuwa unatafuta kazi usiweke vikwazo, Uzi wako akisoma mtu Kama yupo na mwanza hakutafuti
 
Back
Top Bottom