Recent content by UMUNYU

  1. U

    JamiiForums Tanzania Je router gani inafaa kwa Matumizi ya Ofisini na Nyumbani !!!

    Umeeleza vizuri tatizo hujataja hizo Bei ili tulinganishe
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom

    Sijawakimbia ndiyo maana niliwapigia simu Sema hawapokei
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom

    Asante kwa ushauri wako
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom

    Habari ya leo Wana jf! Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom anielimishe kuihusu! Nimejaribu kuwapigia vodacom kwenye namba 100 naona ni maelezo mengine yanayotolewa na hata hakuna fursa ya kuongea na mhudumu.Nimejaribu kuchati nao Whatsapp wala hawajibu!!!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya kwa tatizo hili la kibenki!!

    Asante kwa ushauri mkuu!Labda nikuweke wazi!Sasa hivi watumishi tunaomba nkopo sisi wenyewe kwenye mfumo.Hadi makato tunajikadiria wenyewe.Afisa utumishi ana nafasi ndogo sana.Yaani ni kama sehemu ya kazi yao tunaitimiza sisi.Nimejaribu kuwashirikisha lakini wao wanadai tatizo ni benki.Matawi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa nini cha kufanya kwa tatizo hili la kibenki!!

    Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi wa saba.Ajabu huo huo mwezi wa sita waliingiza mkopo na kuukata rejesho zima la mwezi. Nilipowafuata...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

    Hapana!!!Mara ya mwisho madaktari walipendekeza nifanyiwe kipimo cha OGD,mbacho kiliingizwa tumboni ambapo walibaini uwepo wa 'vidonda" ila siyo "vidonda vya tumbo".Waliniandikia dozi za vidonda vingi sana ambavyo havijaleta unafuu wowote!Kwa sasa nimeanza tiba asilia na tiba lishe
  8. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na changamoto hii ya ardhi

    Iko hivi,kuna uwezekano mkubwa huyu jamaa amefanya hivyo kwa makusudi!Kwa sababu hata upande wake mawe yaliyowekwa na aridhi alishayatoa.Tumejikuta tuna fika hadi hapo kwake kwa kutumia mawe yaliyo kwenye viwanja vyetu.Kilichonishtua ni kwamba aliwahi nitumia meseji akidai anafikiria atuhamishie...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na changamoto hii ya ardhi

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  10. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabiliana na changamoto hii ya ardhi

    Habari ya leo wanajf! Naombeni ushauri wa namna ya kukabiliana na changamoto hii ya aridhi kwa busara na kwa amani. Mimi na mwenzangu tulinunua viwanja sehemu moja iliyopimwa, kwa hiyo ni viwanja halali na vina hati. Changamoto iliyojitokeza ni kwamba alitokea bwana mmoja akawahi kujenga...
  11. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Sasa hizo hisa za Mwanga bank ziko wapi?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Plan B yakuokoa Hasara kwenye Hisa

    Ni sawa!Lakini kumbuka chochote binadamu anachokifanya kinaenda na muda!Kuna muda wa kupoteza na muda wa kupata kikubwa ni kujiandaa kifedha na kisaikolojia!!Mkulima anayeenda kulima mazao yake,mvua ikagoma asivune chochote na akapata hasara mazima Je alikosea kulima?Hapana.Ndiyo maana ninasema...
  13. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Je hisa zao ziko DSE?
  14. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Asante sana ndugu,hapo umenipa mwanga na sehemu ya kuanzia!
  15. U

    JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI KATIKA HISA LEO 4/5/2026

    Asante sana kwa ushauri ninauchukua ili nianze kuufanyia kazi!Ninachokuomba ni namna ya kuifahamu benki yenye mkono wa serikali na watu,hapo ndiyo ningeomba unielimishe zaidi kama hutojari!
Back
Top Bottom