Recent content by umukurya

  1. umukurya

    Nitumie application gani kupata sms anazotumiwa mpenzi wangu?

    kwani ww ndiye uliyembikili? elewa huwa hawawasahau waliyowabikli. utapata british pipeline mkubwa.
  2. umukurya

    Dk Slaa: Sina lolote la kumkumbuka Rais Kikwete

    kipindi hicho alikuwa amepedeza. Magwanda yamemchooooooooosha
  3. umukurya

    Which countries in AFRICA have the best intelligence agencies?

    Rwanda mafunzo yao wanayatoa TZ mkuu
  4. umukurya

    Mhe Vincent Nyerere kutikisa mkoa wa Mara

    kwani hujui Dr kebwe ni waziri hivyo anawahudumia watanzania wote? Hapo Serengeti kuna ofisi ya naibu waziri wa afya? Pambanua mambo kama kiongozi. Siyo unaandika ushabiki unajidhaulisha
  5. umukurya

    Odinga atia mkono UKAWA

    Ni kweli wewe unaipenda nchi yako. Yakitokea machafuko haohao ndiyo wa kulaumu usalama wa taifa. Hata mbuyu ulianza kama mchicha. USA walimdharau mhabarishaji kwamba ni kichaa jengo kuu la kitega uchumi likalipuliwa. Nchi kwanza vyama baadae. Bila nchi hakuna vyama.
  6. umukurya

    Profesa Muhongo amekengeuka!

    kama utakuwa umehudhuria shule nadhani umesoma kwa miaka saba tu. Soma vzr post yangu nimesema kwani prof amezuia asichunguzwe?
  7. umukurya

    Profesa Muhongo amekengeuka!

    Longo longo pro muhongo siyo asili yake. kumshauri aende kivukoni kusoma siasa ni kumwambia aende kusoma longo longo. Mzee huyu haangalii sura wala chama. Ulivyokuja ndivyo atakavyokujibu. Kutaka kuonyesha matokeo ya mh Sendeka nayo ni sawa maana alitaka kuonyosha uelewa wa mtu huyo. tuwe...
  8. umukurya

    Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    kwa hiyo tukibaliane kwamba kwa sasa hakuna mtz mwaminifu?
  9. umukurya

    Joseph Mbilinyi 'Sugu' amlipua Zitto Kabwe

    Nadhani mbilinyi amenunuliwa ili kuweka chunvi ktk kidonda. Kwani kwa kauli hiyo mbilinyi hajengi bali anabomoa. Anaonyesha wazi kwamba hata upinzani nao kumbe wanapiga dili. Hivyo kelele zao ni sababu hawajahusishwa. Na wakihusishwa ni washiki wazuri. Haya yetu macho
  10. umukurya

    CHADEMA Yamkana anayejiita Mwenyekiti Temeke

    kauli hii haitofautiani sana na ile ya zamani ya cuf ccm b. Kwa maana nyingine kikao kijacho cha bunge la katiba ACT itajiunga na ukawa!!
  11. umukurya

    Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

    huna sababu ya kuyakashifu magazeti hayo. Cha msingi kwa statent hiyo ni kujiuliza kama kweli prof Lipumba ameyasema hayo maneno. Au kufanya utafiti wa kubaini kuwa kweli kauli hiyo imetamkwa popote na prof lipumba au viongozi baadhi toka cdm. nje ya hapo wewe huna tofauti na hayo magazeti...
  12. umukurya

    Kikwete ni rais wa wachina ama?

    Rais siyo mwenyekiti wa kitongoji. Ili atoe tamko razima uchunguzi wa jambo analolitolea tamko liwe limehakikiwa na wataalam husika. Hivyo kuna sababu za msingi kutoa tamko kwa mda aliotoa tamko. Mengineyo ni mawazo yako kutokana na uelewa wako.
  13. umukurya

    Serikali yatangaza kupunguza bei ya Umeme, kutoka senti 40 mpaka senti 8 kwa unit!

    sipendi saana kishabikia siasa. Lkn Muhongo ukimlinganisha na waliyomtangulia yeye ana nafuu kidogo. Na kwa sababu ameridhi matatizo isingewezekaka kuyaondoa mara moja .Some how amejitahidi.
  14. umukurya

    GE2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

    hapo hapo pa nani awe nani ndiyo vurugu itaanzia. Kwani hata maoni yako ni chanzo cha vurugu. wengi uliyowataja ni cdm Hivyo ratio itaanzisha vurugu. Rais na makamu wote wanatoka bara nayo ni vurugu. Zito hana mahusiano mazuri na wakubwa akiitwa msaliti nayo ni vurugu. Lipunba ana elimu zaidi...
  15. umukurya

    Mshahara jeshi la Polisi

    kwako wewe kipaombele ni pesa!!! kwa mjibu wa swali lako utasumbua sana wana wa nchi kuomba rushwa ili ukidhi matakwa yako. na utachafua sura ya jeshi bora ujiunge na waendesha bodaboda maana wateja wako mnakubaliana kabla ya malipo
Back
Top Bottom