Recent content by Umslpogaaz

  1. Umslpogaaz

    Tanzania kupeleka battalion moja Congo

    Hilo jeshi linatakiwa liende kwenye mpaka wetu na Malawi likalinde huko.
  2. Umslpogaaz

    Maandamano IFM

    MICHUZI: Mambo yalivyokuwa wakati wa Maandamano ya Wanafunzi wa Vyuo vya IFM na Mwalimu Nyerere jijini Dar,Kamanda Kova akutana kuzungumza nao
  3. Umslpogaaz

    Unahitaji spares za bmw, benz, vw, scania, volvo?

    Je unahitaji spares za magari haya: BMW Mercedes Benz VW Scania Volvo na mengine mengi ambayo spare zake si rahisi kupatikana? Kama unahitaji nitumie PM na utazipata mapema iwezekanavyo.
  4. Umslpogaaz

    Viongozi serikalini nao kujivua gamba

    Viongozi serikalini nao kujivua gamba By Jukwaa Huru on July 29, 2011...
  5. Umslpogaaz

    Esther Wasira: Waliofilisi Mashirika ya Umma na Kujiuzia nyumba za umma kukiona 2015: Angalia Ch 10

    Mnajichimbia kaburi wenyewe. Kukaripia ufisadi unaona ni ushabiki! Endeleeni!
  6. Umslpogaaz

    Esther Wasira: Waliofilisi Mashirika ya Umma na Kujiuzia nyumba za umma kukiona 2015: Angalia Ch 10

    Huyo ni mwananchi mzalendo wa Tanzania. Mchango wake katika ujenzi wa Taifa la Tanzania upo katika hayo maneno yake...au wewe huuoni?
  7. Umslpogaaz

    Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

    Kwa mtazamo wangu Nape ni kiboko ya Ccm. Subiri uone!
  8. Umslpogaaz

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Shule si mchezo, inahitaji akili!
  9. Umslpogaaz

    Kwa hujuma hizi juhudi za Mwakyembe kwenye usafiri wa City Train ya kutoka Ubungo na kurudi ni Bure!

    Kwani anayeweza kutoa ticket ni mmoja tu? Lazima pawe na ushindani, anayetoa huduma mbaya asipewe kazi hiyo. Ni nani anasimami huduma za kuangalia kuwa abiria wanalipia? hayo yote ni mambo ya msingi ya kuzingatiwa.
  10. Umslpogaaz

    Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Tunawahitaji watu kama Nape katika CCM kwani wanatupa zaidi changamoto ya kutaka kuiondoa CCM madarakani. Kila mara ninaposoma anayoyaandika huyu, ndipo dhamira yangu ya kuona kuwa CCM haitawali tena inaongezeka...na tupo wengi!
  11. Umslpogaaz

    Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

    Kuna msemo unaosema 'nyani haoni kundule'
  12. Umslpogaaz

    Eti CCM 'B' Kumbe wenyewe ni CCM 'A'

    Ni vizuri kujua hayo, lakini sijaelewa ni jinsi gani hawa wamefikia mpaka wakawa na sifa hizo ulizozitaja. Unaweza kufafanua zaidi? Binafsi naona mambo mengi waliyoyasema yameonekana kuwa ni kweli. Walianza kuongelea ufisadi wa EPA, Richmond, Kigoda, Meremeta, Kiwira na mengine mengi. Unataka...
  13. Umslpogaaz

    Nape: Msimamo dhidi ya ufisadi hautabadilishwa

    Bado tunasubiri Komredi!
  14. Umslpogaaz

    Hoja: Ufisadi na matumizi ya rasilimali za umma au sarakasi za watuhumiwa?

    Hapo nakuunga mkono. Mimi nadhani kwa sasa hivi wananchi wanahitaji kusikia ni jinsi gani mafisadi hasa waliopo ndani ya CCM wanavyoshughulikiwa, vile vile namna ya kukabili matatizo ya wananchi. Kuongelea kuwa ni nani ana kadi ya ccm au nani hama hakusaidii lolote maana ni Watanzania wengi tu...
  15. Umslpogaaz

    Has Kikwete lost his "Legitimacy" to Lead?

    Good. keep on posting. Guess we are learning a lot!
Back
Top Bottom