Recent content by ummatz

  1. U

    TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

    ipo karibu na kibo ilikuwa ikitwa eastafrika zamani yeye akainunua
  2. U

    Ole Sabaya aangua kilio mahakamani akidai anasingiziwa

    Mi nasema sabaya aishukuru sana serikali maana wamemtunzia usalama wake na kupunguza hasira ya wanannchi.
  3. U

    CHADEMA acheni kupotosha, hakuna sehemu Ole Sabaya amedai alitumwa na Hayati Magufuli kutenda aliyotenda, Rais ni taasisi

    Hapa chadema inahusika je? Maana vyombo vya habari vinatangaza hivyo mbona mnaihusisha chadema kwenye vitu haisiki navyo.
  4. U

    Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

    Siasa zake zimepitawa na wakati sasa hivi ndio chadema kweli kila wakati kulala nyuma ya nondo kama raisi aliye pita zambia.
  5. U

    Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Kwani kuna ubaya gani kanisa halina chama.Wamenda kama chama kufanyiwa maombi sivibaya.
  6. U

    Spika Ndugai na Bunge lake waliwakebehi CHADEMA walipojitenga kuchukua tahadhari ya kuzuia COVID-19, leo analazimisha wabunge wachanjwe?

    Hapa ndio umuhimu wa katiba mpya unapoonekana. ili mawaziri wasiwe wanatokana na wanasiasa bali wajiriwe kulingana profesion zao.
  7. U

    Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

    Ila mandamano ya kumpongeza raisi ni halali kwa ccm ila kwa vya upinzani ni vurugu. na wizi. ukweli serikali ndio inaipa nguvu chadema na umarufu kwa mbowe. jiulize swali kesi ya mashehe ili ishia wapi! Je walikuwa magaidi kweli ndivyo kesi ya mbowe itakavyo kuwa. hamna jipya ccm ndio...
  8. U

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Wewe ulichukua hatua gani? Kwa sababu ww nawe ni mwananchi hetuambie!
  9. U

    Uzinduzi rasmi wa kampeni ya Wananchi na Katiba ‘WAKA’ kufanyika tarehe 28/8/2021 jijini Dar es Salaam

    Napendekeza na tasisi nyingine zijitokeze kudai katiba mpya. Tuelimishane kwenye vijiwe vya bodaboda,bajaji,machinga kunasiku wataelewa tu umuhimu wa katiba mpya. chama kimoja kinatuchagulia watu inayowataka wao na sio tunao wataka sisi.
  10. U

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Wenyewe wanashangaa wameshika je madaraka?wanashangaa tozo kuwaumiza wanannchi,wanashangaa mafuta kupanda bei wanashangaa gesi kupanda bei kila kitu kushangaa hata katiba mpya watu wanapoidai bado wanashangaa kila kitu kushangaaa serikali ya kushangaa .Uwauliza swala la ajira kwa vijana...
  11. U

    Kama Wewe ni Mwana-CHADEMA, chama kinakuhitaji kuliko wakati wowote

    Kwenda mahakani kusikiliza kesi ya kiongozi wao kimsingi ni haki yao maana hawajatangaza mandamano hawajavunja sheria kuwapiga sio njia bora.
  12. U

    Mikoa 20 yathibitisha kuhudhuria kesi ya Mbowe Kisutu Agosti 5, 2021

    Sidhani kama watakutanika chadema ya sasa ni yamatamko kuliko vitendo.
Back
Top Bottom