Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,782
Ukishangaa hilo kuna hiliNakumbuka mwaka 2020 baadhi ya wanunge wa CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe walipojitenga kuzuia maambukizi ya virusi vya UVIKO-19.
Ndugai pamoja na wabunge wenzake wa CCM waliwakebehi kwa maneno ya kuudhi sana. Kipindi cha Faru John wote walikuwa wanafuata upepo wa Faru John ili mikono iende kinywani, leo Faru John hayupo, kila mwana CCM anaimba pambio ya chanjo.
Hakika tatizo kubwa na namba moja ya Tanzania ni fikra za kinafiki zinazoendelewa na ma CCM.
Hoja ya Katiba mpya haikwepeki.