Recent content by umemetango

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwa nini bei ya petrol ipo juu katikati ya jiji la dar kuliko pembezoni.

    Katikati ya mji kuna matajiri wengi, inaaminika wanaokaa nje ya mji kipato chao kidogo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Benki tatu kuwekwa chini ya uangalizi: Hii ni sawa na kusema baada ya miezi hiyo zitafungwa

    Tanzania Women Bank haijafungwa, iliyofungwa ni Covenant Bank for Women
  3. U

    JamiiForums Tanzania Spain ni nchi nzuri kwa kufanya biashara

    Mkuu hongera sana, nitakutafuta ili unisaidie kupata mitambo ya kuanzisha viwanda vidogo
  4. U

    JamiiForums Tanzania Desalination machine

    Poa, ngoja nicheki nitakujulisha
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimefungwa akili, natamani kutoka kimaisha

    Unashauriwa usianze kufanya biashara yoyote bila ya kuijua vizuri au kufanya utafiti, nakushauri nenda Chuo cha CBE au Chuo kikuu cha Dsm kitebgo cha Biashara watajua jinsi ya kukusaidia wanakozi zote kuanzia za watu waliomaliza la 7 hadi degree!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada: TRA wamenikadiria kulipa kodi kubwa kuliko uwezo wa biashara

    Jifunze kufanya kazi na wataalam wa ushauri wa kodi (Tax consultants) watakusaidia sana, hata mimi nilikuwa na matatizo hayo sana lakini kwa sasa yamekwisha, siku TRA wakija ofisini basi nainua simu namwita mtaalam wangu anakuja kuongea nao. Kodi ina vipengele vingi sana huwezi kuvijua vyote, ni...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Anyone need IT guy in Dar es salaam or Morogoro?

    Nitafute, vijana wenye ujuzi kama nyinyi mnahitaji maelezo kidogo ili mzinduke
  8. U

    JamiiForums Tanzania Anyone need IT guy in Dar es salaam or Morogoro?

    Wewe upo wapi??
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anyone need IT guy in Dar es salaam or Morogoro?

    Ukijiajiri utapata hela nyingi zaidi kuliko ukiajiriwa na kusubiri mshahara wa 400,000 mwisho wa mwezi
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje; Mpenzi wa zamani kanipigia simu anataka kuonana na mimi

    Inaelekea bado unampenda, ila ukishakutana nae utuletee taarifa hata kama utakuwa umempa mzigo
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje; Mpenzi wa zamani kanipigia simu anataka kuonana na mimi

    Inaelekea bado unampenda, ila ukishakutana nae utuletee taarifa hara kama utakuwa umempa mzigo
  12. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

    Brother ndoa haijaribiwi, kama huyo mdada ameanza kukosa uaminifu kabla ya ndoa mshukuru Mungu kuwa amekuonyesha tabia kabla hujaoa, kaza moyo piga chini, chukua mshenga wako na baadhi ya wazee wako uwaeleze kisha watawajulisha upande wa mke kuwa hamna ndoa, kuna wakati kwenye maisha unatakiwa...
  13. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Hili tangazo limechelewa sana, nashauri pia watangaze kubatilisha ndoa zilizofungwa huku maharusi walifichana kama vile hawajazaa wakati tayari walishakuwa na watoto kabla ya ndoa.
Back
Top Bottom