Natafuta kazi nina bachelor ya marketing uzoefu miaka miwili

K-Katallah

Member
Feb 23, 2017
23
22
Ndugu jama na marafiki" mwenzenu ndugu yangu anatafuta kazi jamani" anayo bachelor of marketing na uzoefu wa miaka miwili katika field ya marketing " tumsaidien jaman ndugu yetu" mawasiliano ni 0714631706
 
Kwanza rekebisha kichwa cha habari halafu uje tena ujieleze.......karibu sana.
 
Weee mbona kazi za marketing zipo nyingi sana, au hutafuti matangazo yanayohusu ajira......yaani una uzoefu kabisa na bado unatafuta.,...hizo kazi mm naona zipo nyingi tu, asiogope interview......mwambie awe anapitia website wanazotangaza matangazo ya kazi...na magazeti pia
 
Ndugu jama na marafiki" mwenzenu ndugu yangu anatafuta kazi jamani" anayo bachelor of marketing na uzoefu wa miaka miwili katika field ya marketing " tumsaidien jaman ndugu yetu" mawasiliano ni 0714631706
 
Attachments

  • Emailing+VACANCY.pdf
    91.8 KB · Views: 63
Back
Top Bottom