Natafuta kazi nimesoma business administration

Jan 26, 2017
9
1
Hellow JF jina langu ni Nusraty Nurdiny. Umri wang 20 nina elimu ya kidato cha nne. Nimesomea business administration natafuta kazi. Be blessed.
 
Kazi gani unayotafuta?! Tiririka mwanzo mwisho?! Unaish wapi?! Uzoef Wa kaz unayotaka?? We VP jiachie bhana
 
IMG-20170309-WA0002.jpg
 
Una elimu ya kidato cha nne then umesomea Business administration.so elimu yako halisi ni ipi?
 
Are you a qualified individual for any of the following posts:
1. Marketing Officer
2. Call centre Officer
3. Registration Officer
4. Office Administrator
Please apply via our email info@econogroup-tz.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom