Recent content by Umbuju

  1. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Naanzia wapi kupata cheti ila leseni ninayo

    Shukrani mkuu
  2. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu driving Course pale NIT

    Vipi ulivyoenda veta ilikuwaje kuhusu vyeti,au nako ulipita njia za panya hadi kupata C
  3. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Naanzia wapi kupata cheti ila leseni ninayo

    Shukran mkuu,ntafanya hivyo Hawawezi kuhitaji vyeti vya vyuma au wanaangalia leseni tu
  4. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Naanzia wapi kupata cheti ila leseni ninayo

    Naomba kujua Kwa leseni hiyo nitapata cheti gani ?
  5. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Naanzia wapi kupata cheti ila leseni ninayo

    Leseni yangu ni class A B C1 C2 C3 D Sikusoma veta lakini nahitaji nipate vyeti vya veta ili vinisaidie kuomba kazi naanzia wapi wakuu..
  6. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi....

    Ukikatafuna hako kachawi umekwisha
  7. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Na ya kuuzia hapo inakua ngapi😛😜
  8. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Mnaongea kwa mafumbo waone, Hapo 100-110 hiyo 10 ya juu ndio ya kuuzia au unamaanisha nini dada angu
  9. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Dereva - Mdada

    Maelezo yako mkuu kama ni kazi ndogo ndogo na hiyo ya kupeleka watoto shule mbona hata wanaume tunaweza
  10. Umbuju

    JamiiForums Tanzania CHEMSHA BONGO: Je mimi ni nani?

    Wewe ni wewe na unajijua wewe mwenyewe.
  11. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Dereva - Mdada

    Watakuja boss, Mnataka housegirl anayejua kuendesha gari
  12. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu hili jambo nalotaka kufanya

    Ahsante sana kwa kuweka neno lako hakika nitazingatia hilo. Vipi kuhusu mkoa nitue nayo wapi ?
  13. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu hili jambo nalotaka kufanya

    Kabla ndugu mwl RCT hajafika kukujibu naomba uKumbuke kutia neno kidogo kwenye wazo langu,sema chochote Samahani kwa kurudisha ndani ya topic Ahsante.
  14. Umbuju

    JamiiForums Tanzania Sema chochote kuhusu hili jambo nalotaka kufanya

    Nipo na mtaji wa millioni 10 cash Nataka niingize kwenye biashara kwa mkoa wowote ule nipo tayari. Wazo langu nifungue duka niweke vitenge nguo na viatu,dukani nitakua nashinda mimi mwenyewe pia nitatoa ajira kwa kijana wa kunisaidia. Mkoa wowote nipo tayari kwenda kufungua duka na kuanza...
Back
Top Bottom