Recent content by 'Umarr P

  1. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kiwango cha mwisho cha ufaulu darasa la saba ni upi?

    Hapo umepotosha, toa mifano ilio hai.... mkoa mzma Mtu anaeongoza ana B? Anyway nipo Singida na shule niliosoma mm wanafunzi darasa zima wamepata A. Hiyo Singida unayosema ww labda ya Malawi au Zimbabwe. Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

    twende twende masikio kama sungura, twende twende kichwa kama boga twende twendeeeeeee
  3. U

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    unapotoa mada kama hizi inabida uwe na ushahidi sio kukurupuka tu, unataka kuniambia walioajiriwa NSSF ni waislamu pekee? hii kitu haingii akilini kwa mtu mwenye kufikiri kwa kina. Udini unauanzisha wewe.....................................
  4. U

    JamiiForums Tanzania Najaribiwa jamani

    kaz ni kwako
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kufa tutakufa tu, tatizo kutangulia
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    2jiandae na kilimo mcmu ndo ushafika.. Hii elimu imeota mbawa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwa waliokosa mkopo

    Duh kwa hali hii kitaa kinatuhusu sana tu, yan Mzumbe majina waliotoa ni zaid ya 1500, ila waliopata mkopo ni watu 500 na kidogo tu..!
  8. U

    JamiiForums Tanzania TCU wanaonesha nimechaguliwa, lakini chuoni jina langu halipo

    Duh, kumbe 2po wengi.. 2fanye kusubir labda ni mambo ya system tu..
  9. U

    JamiiForums Tanzania TCU wanaonesha nimechaguliwa, lakini chuoni jina langu halipo

    Naombeni kdogo maoni yenu juu ya hili, Tcu wanaonesha nimechaguliwa chuo cha MZUMBE (BECA), Lakini majina waliyotoa MZUMBE jinalangu halipo.. Hapo kuna tatizogani?
  10. U

    JamiiForums Tanzania NACTE Selected but not confined imeniponza

    Vp mzumbe wameshatoa majina yao?
  11. U

    JamiiForums Tanzania NACTE wafanya mabadiliko

    Kwangu wameniandikia selected, lakini wamesema majina wameyapeleka chuo husika kwa uhakiki... Baada ya hapo wataweka confirmation kama chuo hucka wamekukubali au wamekuacha
  12. U

    JamiiForums Tanzania NACTE wafanya mabadiliko

    Nacte sasa imeanza kuonesha uhai kwa wanafunzi wa diploma baada ya sintofahamu kwa muda mrefu... Unaweza kuingia kwenye profile yako ukaona mabadiliko waliyoyafanya..
  13. U

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Ngoja 2endelee kusubiri@gee
  14. U

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Duh.....! Kwa hali hii hawa jamaa kaz imewashinda.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    Mwenye taarifa mpya kuhusu hawa jamaa wa NACTE naomba anijuze. Kwamaana mwenendo wao unakatisha tamaa..
Back
Top Bottom