Recent content by Ulamaa Hemed

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Cover la simu

    Natafauta cover la simu infinix note 3 x601 kama unayo niambie usijali kuhusu bei, nipo dar k.koo nimekosa. 0717501557
  2. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka ku install whatsapp plus kwenye tecno j8 lakni inagoma naomba msaada

    Nataka ile whasapp ya bluee sio kutumia whasapp mbili kwenye simu moja
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka ku install whatsapp plus kwenye tecno j8 lakni inagoma naomba msaada

    Nimetuwa link lkn bado inakataa
  4. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini utumie x badala ya s?

    Wanafanya bajeti ya idadi ya herufu kwenye meseji, mafano akiandika mtu herufi 3 kwahiyo anaandika m2 herufi 2 tu,sinajua vijana wasikuhizi na mabint wao wanapenda vitu rahisi sana
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ideos inahitajika

    Ninayo ya tigo 0717501557 piga fasta tupatane
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share here your best browser in android smartphone.

    Tumia cm browser ndio kila kitu hiyo kwanza haichukui nafasi kubwa then ipo fasta sana
  7. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Android mega thread; Maswali, Tips and Tricks, Kila kitu kuhusu android

    Root ndio nini?
  8. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu please

    nimepeleka Laptop yangu compaq 515 kwa fundi ili isafishwe feni، lkn baada ya kusafishwa ilipo fungwa ikakataa kuwaka. kwa maelezo ya fundi akiifungua akijaribu kuiwasha inawaka lkn akiifunga akiiwasha inagoma kuonyesha،. kwahiyo fundi ameshindwa kuitengeneza، km kuna mwenye...
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie

    nielekeze jinsi kuclear kech
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie

    ina memory card 4GB nimedownload vitu vichache tu yana hata ukiifomati halafu usidownload kitu chochote lkn baada ya siku kadhaa inakuambia memory full,yana inakera sana, ila net ipo fasta sana
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie

    simu yangu samsung b920 ni android tatizo lake inajijaza internal memory yenyewe unaweza ukaicha free mb 16 lkn baada ya siku 2 inakuambia memory getting low futa baadhi ya vitu au simu itajizima inatokea hivyo hata kama Internet ipo off. nijejaribu kuerest mara kwa mara lkn bado.naombeni msada...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa waliotoswa na heslb

    fuatilie haki yenu
  13. U

    JamiiForums Tanzania Orientation week ni ya lazima au.!?

    Ndio muhimu hata Mimi nimemwambia hivyo( muhimu) lkn sio lazima
Back
Top Bottom