Naomba mnisaidie

Naomba mnisaidie

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
simu yangu samsung b920 ni android tatizo lake inajijaza internal memory yenyewe unaweza ukaicha free mb 16 lkn baada ya siku 2 inakuambia memory getting low futa baadhi ya vitu au simu itajizima inatokea hivyo hata kama Internet ipo off. nijejaribu kuerest mara kwa mara lkn bado.naombeni msada please
 
weka memory card kwny cm yako halaf hamishA app kweny mmry card
 
hata internet ikiwa Off?? basi inawezekana SMS/WhatsApp/Viber ndio zinajaza. hapo fanya kuweka memory card au kama ina memory card Set default Installation/storage to SD card
 
ina memory card 4GB nimedownload vitu vichache tu yana hata ukiifomati halafu usidownload kitu chochote lkn baada ya siku kadhaa inakuambia memory full,yana inakera sana, ila net ipo fasta sana
 
kwa application za sasa hivi zilivyo huwa hawafikirii simu ambazo internal memory yake ni ndogo hivyo inasababishaa usumbufu, nakushauri kuweka application chache ili free space iwe ya kutosha pia mara kwa mara clear cache. kiufupi ni usumbufu lkn kuepuka hilo ni kununua simu yenye space ya kutosha (internal Memory)
 
nielekeze jinsi kuclear kech
 
nielekeze jinsi kuclear kech

=>settings
=>application
=>manage application
=>chagua application "mfaano whatsapp" na chagua "clear cache" au "clear data" itasaidia zaidi lkn utalazimika kufanya configuration upya
 
Back
Top Bottom